Plato alisema kwenye alegory of the cave kuwa watu wa kwenye cave wanaona kivuli na sio uhalisia wa mambo.
Ila sisi hatuko kwenye cave, tuko kwenye tundu la choo hakuna nuru yeyote zaidi ya harufu mbaya.
Hakuna mwanga, hakuna matumaini, ni giza tupu na hofu๐๐๐