@mTusiOriginal Wanafunga kamba moja wanaizungusha mara mbili, upande wa kwanza wakisha uanikia nguo wanaivuta kamba nguo zinakaa katikati then iyo kamba wanaifunga... wakitaka kuanua wanaivuta kamba wanatoa nguo wanafunga kamba
@Therealngassa Biashara inasomwa... mtu mwenye usomi wa biashara pamoja na experience uwezi mfananisha na mtu mwenye experience pekeake... ata wafanyabiashara wakubwa wanaajiri wasomi wa biashara pia!
@Ugo0011@Aruatani Nazani Unajua maana ya taasisi mheshimiwa, naomba unitajie taasisi moja wapo inayo isimamia serikali ambayo ilipungua nguvu kwenye enzi za mwendazake
@MariaSTsehai Vijana wengi wanao lishwa propaganda za uyu mdada wanakuwa ni kama hawana akili, ukiwapelekea hoja wanaishia kuwa wakali, wanaishia kutukana... brainless braincells