@BenedictoRock@EsirEid Ni Ushabiki wa kijinga tuu na hii yote Sababu Messi kafunga 3 goals. Basi tulikuwa na expectation kubwa kuliko uwezo wa Goat wetu
@WideEdson Wapi nimewasifia?
Sawa sijui Mpira ila kwa mtu yeyote Mchezaji haya Mambo ya kawaida sana.
Niletee stast za WC 2022
Au Bruno ndo aliwanyima hamkuchukua kombe😂😂😂 upuusi tuu