Niliwahi kuchangia mahala fulani Wanangu badala kujibu HOJA wakanitukana na kusema sijui MPIRA ila UKWELI ni Kwamba MPIRA ni PROCESS sio jambo la kufumba na kufumbua.
Tuna timu za under 15, 16,17, 18, 19, 20,21 Kwani hawa vijanq huwa wanaenda wapi??
ACHENI siasa kweny SOKA tengenezeni timu ya TAIFA NAFASI bado ipo ila mkiendelea na haya MAUZAUZA mtazidi kurudi nyuma.
NAOMBA REPOST ZENU WAKUU🙏
Pc ipo sokoni hivi sasa, kampuni ya lenovo toleo la mwisho.
Ukubwa wa GB500
RAM GB4
warranty🚫
price 270k (tunaongea🙏)
Mcheki 👉@cooIest_Kid14
Usiwe Bubu Unapokutana Na Mwanamke Kwenye Outing Zenu!
Uliza Haya Maswali 16 Ili Kuendelea Kumvutia..
Kumbuka lugha ya mwili na sauti isiwe kama Afande anahoji Jambazi..
UZI
Habari kaka? Naomba unisaidie kuokoa maisha ya mdogo wangu. Anaitwa Consolata Mgata, ana umri wa Miaka 17. Tunaishi Luganga, wilaya ya Kilolo mkoa wa Iringa. Amemaliza kidato cha nne mwaka jana shule ya sekondari Kilolo, Iringa.
Mdogo wangu Conso alianza kuona uvimbe wa mguu