Try Masta Voice AI for free 🎙️🔥
Introducing Masta Voice AI — tool inayogeuza voice notes, customer calls, meetings, interviews, lectures, na field reports kuwa taarifa unayoweza kuitumia.
Unapakia audio, Masta Voice AI inakupa:
✅ Transcript
✅ AI Summary
✅ Translation
✅ Business Report
✅ Action Points
New version iko live:
✅ Bugs fixed
✅ Checkout/payment improved
✅ Audio processing up to 5GB
✅ Faster, smoother, more reliable
Voice is no longer just audio.
It is intelligence.
Start your free trial:
https://t.co/TwJmkBbwke
@mesejimasta
Mwaka 1983, dunia ilikaribia sana kuingia kwenye Vita vya Tatu vya Dunia.
Lakini sababu iliyozuia maangamizi haikuwa rais, jenerali au mwanasiasa.
Ilikuwa maamuzi ya mtu mmoja.
Episode 1 👇
END OF EPISODE 2
Fikiria una dakika chache tu za kufanya maamuzi.
Kompyuta zinasema vita imeanza.
Wewe ungesikiliza mashine au intuition yako?
Tuambie kwenye comments. 👇
Follow @KingsonJnr kwa Episode 3:
“Dakika ambazo ziliamua hatima ya binadamu.”
Kama ungekuwa kwenye nafasi ya Petrov…
Je, ungeamini kompyuta au ungeamini uchambuzi wako?
Andika maoni yako hapo chini. 👇
Na follow @KingsonJnr usikose Episode 4:
“Jinsi mwanga wa jua ulivyokaribia kuanzisha Vita vya Dunia vya Tatu.”
Ujanja si kufanya kazi kwa bidii tu, ujanja ni kujua wapi unaweka akiba ya baadae ya watoto
Usirudie kosa la kusubiri hadi kesho. CRDB Bank wameleta suluhisho na akaunti za Junior Jumbo na Teen Account.
Kwa nini ufungue sasa?
1. Hakuna makato ya mwezi kabisa!
2. Riba nzuri inatolewa kulingana na akiba yako.
3. Fursa ya kukopa kuanzia TZS Milioni 1 hadi Milioni 200.
Tembelea tawi lolote la Benki ya CRDB sasa hivi kufungua akaunti! 🏢
#benkikimpangowako
@PolycarpMDM Inategemea na kazi. Nilikuwa nikianza compile project, CPU inapanda 100%, mimi natoka 100 meters kwa sababu mezani panakuwa kama kuna jiko la mkaa. 😂🔥