@VodacomTanzania "AJ39AVFQF4D Imethibitishwa. Umetoa kiasi cha Tsh3,000,000.00 kutoka kwa 165627 - ROSE YUSUPH MALIYATABU tarehe 3/10/23 mnamo 1:00 PM. Salio la Merchant Account akaunti ni Tsh42,460.00"
naomba vodacom na songesha mrudishe pesa angu hii, mmekata wakti mm nilikosea kutoa.
@VodacomTanzania Asante sana. Nawapa number mkinipigia taeleza yoye. wakala anasema et yeye songesha alikuwa analipa 10,000 kila mwenz alafu mm hela angu zaidi ya 3m. Kwamba mm akiwa ananilipa atanilipa zaid ya miaka 25.
@VodacomTanzania Unapiga vodacom wanatuunganisha anasema kweli iyo pesa si yake imeingia kimakosa. Lakn songesha washachukua yote. What next? Na vodacom wanajua mtu anaweza kosea ndio sababu wanahuduma ya jihudumie. Kwann songesha mchukue pesa angu????.
@VodacomTanzania Vodacom mm nina malalamiko juu ya kitengo chenu cha songesha. Songesha kwasasa inatumika au inasaidia kuiba pesa za wateja wanaokosea miamala. Very saddy. I lost my money kwasababu ya songesha. Nimekosea kutoa pesa kwa wakala alafu yupo mbali then pesa inachukulia na songesha.
@VodacomTanzania Mteja unakuta uliyekosea yupo mbali na hamujui, ila wao na songesha wanajuana nae.
Mm
Nadhan songesha uwo utaratibu ondoeni. Ni kama wizi wa wazi. Maana pesa zinazokosewa ndio zitatumika kulipa madeni ya songesha.
@VodacomTanzania Kisheria kutoa pesa wakala wa mbali ni kosa, kwann songesha wachukue pesa ambayo si halali kwa mteja wao?????.
Fanyen marekebisho ya ayo mambo ya songesha, mm naumia nimepoteza pesa nyingi.
@TvDaima Huu utaratibu kwa serikar ni mbovu, naenda kutoa pesa mpesa hata 15min haishi nakutana na gar yangu haina plat no, fine wanasema 200,000/= nimehairisha safari yangu ya kikaz, @SuluhuSamia@tanpol