Katika nchi yetu,Mgombea akienguliwa na Tume ya Uchaguzi hata kama ni kwa kuonewa, haruhusiwi kwenda mahakamani kuhoji kwa nini ameenguliwa. Je Tundu Lissu kudai Tume Huru ya Uchaguzi ni Uhaini?
#FreeTunduLissu#KatibaMpya
“Much love, my friend—I miss you deeply. You are still one of the finest brains this country has. I’m keeping you in my prayers—may God give you the courage, strength, and resilience to rise above every challenge before you.”
@officielsalome Shetani mjinga sana anakutengenezea uongo na kuzidi kukudanganya kwa hirizi fulani itakusaidia. LENGO KUU akuweke mbali sanaa na Mungu wako
🚨‼️MHE. TUNDU LISSU AMEWASILISHA MAOMBI KWA HATI YA DHARURA MAHAKAMA YA RUFANI‼️
Tundu Lissu amewasilisha maombi mbele ya Mahakama ya Rufaa akiomba kusikilizwa kwa haraka kwa kesi yake ya uhaini,
Kwasababu hali yake kiafya inazidi kuzorota, anahitaji kupatiwa matibabu ya kina lakin Uongozi wa Magereza hautaki kumpa Haki hiyo.
Ni wazi kwamba Nduli Idd Amin Mama @SuluhuSamia anautumia mfumo wetu wa Mahakama @judiciarytz kumkandamiza Mhe. Lissu, anataka Lissu adhoofike na afe akiwa kizuizini kinyume cha sheria kabla hajapata haki yake.
Tunahitaji hatua za haraka zichukuliwe mara moja ili Mwenyekiti wetu aweze kutibiwa lakin pia kesi isikilizwe haraka ili ifike tamati kama hawataki kuendelea na kesi basi wafute lakin sio kuendelea kumtesa Mwenyekiti wetu huko Magereza.
Tanzanian security forces cracking down on protests during and after the country’s 2025 general elections killed and injured people who were not participating in demonstrations. Hundreds of people across the country may have been killed. https://t.co/zpSjmmzQmd