Nilifika kwenye gari huku nikimtizama wife akiwa kwenye bustani
Nikajishauri nimuage lakini nikasita
Nikafungua geti lakini nikaona mtoto wangu wa kiume kama ananizuia akitaka kuniambia jambo
Nikampuuzia
Nikatoka na kufunga geti
Buriani familia
โJohnson Sakaja is not an ODM member, I would like to bring Babu Owino and make him feel comfortable in the ODM Partyโ
Oburu Oginga on NTV, here is a Thread of all he said ๐๐งต
TONSIL STONES: WHAT YOU NEED TO KNOW
Have you been dealing with bad taste or mouth odor that has refused to go away?
You might have accumulated dirt and bacteria lodged in your throat.
How do they get there?
How can the situation be managed?
Unachopaswa Kujua Kuhusu TISS: Siri za Idara ya Usalama wa Taifa na Uhalisia wa Kazi Yake
โคKwenye mijadala mingi ya kisiasa na kiusalama, jina Tanzania Intelligence and Security Service (TISS), maarufu kama Idara ya Usalama wa Taifa, hutajwa mara kwa mara. Na wakihusishwa na
Kuna watu ambao wanarun Companies tena wengine wako kwenye vitengo vizuri lakini hawajui EMAIL COMMUNICATION!
Wakuu, email Ina namna zake za kimawasiliano. Official email haindikwi kama barua wakuu. Zina lugha zake na namna zake!
Anyway wacha niwasaidie kuondoa hizo aibu ndogo ndogo kwa wale wanaotaka kujifunza, nendeni YouTube kisha mtafute huyu jamaa, ENGLISH WITH ALEX. Utajifunza mambo mengi mazuri!
Levavi Oculus ๐ช๐พ
Sept 7, 2017
Nipo mkoani Dodoma nikijipatia supu ya mbuzi katika bar maarufu kwa jina la ULANGA iliyoko maeneo ya Four- Ways pembeni ya barabara ya Dodoma- Singida.
Natumia muda huu pia kukodolea macho kwenye luninga iliyokuwa Mubashara kutokea viunga vya Ikulu DarEsSalaam, Rais Magufuli akipokea ripoti ya tume maalumu aliyoiunda kuhusu maswala ya madini.
๐๐๐ ๐ ๐จ๐ก๐ ๐๐๐ ๐ฃ๐จ๐ก๐ ๐๐จ ๐๐๐ช๐๐ก๐๐ ๐ฆ๐ข๐ ๐ ๐๐๐ฃ๐
Muhimu cha kuzingatia ni Revenue hizo Expenses sio jibu
Expenses ni past
Revenue ni Future
utapunguza expenses mpaka 0
Lakini utaweza kugerenerate revenue to infinite ๐ฐ
Deal na revenue 90%
Expenses 10% ๐