🇹🇿 "Tuna uwezo wa kufanya maajabu hapa Afrika", mbunifu wa KP-Motor’s aliiambia Sputnik Afrika juu ya uendelezaji wa utengenezaji wa magari nchini Tanzania.
🌍 Masoud Kipanya @masoudkipanya anaeleza jinsi nchi barani humo zinavyoweza kuhama kutoka matumizi hadi uzalishaji - hata kufikia hatua ya kutengeneza magari yao wenyewe 👇
Having to summarize phone calls i missed, identifying sounds without shazam, (without unwanted tracking features) is exactly what i needed from #GalaxyAl
Kudos to #GalaxyUnpacked
My conspiracy theory: Steph’s being paid a lot to underperform on purpose so other mediocre players can shine from time to time for commercial reasons.
Afrika katika majonzi: Raila Odinga, aliyewahi kuwa Waziri Mkuu wa Kenya, afariki dunia nchini India.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanxania, Dkt. @SuluhuSamia atoa salamu za rambirambi akisema, “Tumempoteza kiongozi mahiri, Mwanamajumui wa Afrika, mpenda amani na mtafuta suluhu, ambaye ushawishi na upendo wake haukuwa tu ndani ya Kenya, bali Afrika Mashariki na Afrika kwa ujumla.”
#Saa24
#RailaOdinga