“Serikali inategemea kodi kutoka kwa wananchi lakini haiko tayari kutengeneza ajira kwa wananchi, tuna viongozi wasiona mbele, hakuna utawala bora sababu ya mfumo wa katiba tuliyonayo ” — @MzeeMtamu#KatibaMpya#WenyeNchiWananchi https://t.co/pANsDglBMj
Ni namna gani tunaweza toa hamasa kwa wananchi wenzetu kuweza kushiriki kupinga CCM kuchezea mchakato wa mabadiliko ya #KatibaMpya nchini ambayo itasaidia wananchi kupata viongozi wanaowataka? #KatibaMpya#WenyeNchiWananchi
Hakuna uhuru wa vyombo vya habari nchini. Vyombo vya habari havijalindwa vya kutosha na Katiba dhidi ya matumizi ya sheria kandamizi zinazozuia #UhuruWaKujieleza#KatibaMpya#WenyeNchiWananchi
Udhaifu katika uwazi wa mikataba ya kitaifa ni matokeo ya katiba ya sasa. Wananchi hawawezi kupata taarifa kuhusu mikataba ya uwekezaji, hali inayoendeleza uporaji wa rasilimali #KatibaMpya#WenyeNchiWananchi
Katiba mpya si hitaji la kisiasa bali ni hitaji la kimaendeleo, kijamii na kiutu. Wakati mataifa mengi yamefanikiwa kwa kuweka Katiba zenye mwelekeo wa haki na usawa, Tanzania nayo inahitaji Katiba inayoweka msingi thabiti #KatibaMpya#WenyeNchiWananchi
Katiba yenye haki na usawa itakuwa msingi wa mageuzi ya sheria nyingine zote. #KatibaMpya ikiwa na misingi ya haki, usawa na maendeleo, itasababisha maboresho ya sheria zote zinazotegemea Katiba kama rejea kuu #WenyeNchiWananchi
Katiba yenye haki na usawa itakuwa msingi wa mageuzi ya sheria nyingine zote. #KatibaMpya ikiwa na misingi ya haki, usawa na maendeleo, itasababisha maboresho ya sheria zote zinazotegemea Katiba kama rejea kuu #WenyeNchiWananchi#FreeTunduLissu#justice
Kuharibu mazingira Baadhi ya miradi kama EACOP huharibu misitu, ardhi au vyanzo vya maji bila kutoa manufaa yoyote ya kudumu kwa wananchi #KataaEacop#EacopNiTishioL
Lini EACOP na Serikali watarudi kwa wananchi walioathirika na Bomba la EACOP kupima athari za kiuchumi walizopata ? kama zimekuwa hasi au chanya ? . #KataaEacop#EacopNiTishio
Idadi ya vijana kwenye vijiji waliopata ajira kwenye Mradi wa EACOP ni ndogo sana, wengi walitoa ushirikiano kwa ahadi watapele ajira na kunufaika kiuchumi . #KataaEacop#EacopNiTishio
Kuongeza utegemezi wa misaada Taifa linaposhindwa kuzalisha mapato ya kutosha kutokana na miradi isiyo na tija, hulazimika kutegemea misaada na mikopo kutoka nje, Mradi wa EACOP manufaa yake tunategemea hisani zaidi #KataaEacop#EacopNiTishio
Kuongeza utegemezi wa misaada Taifa linaposhindwa kuzalisha mapato ya kutosha kutokana na miradi isiyo na tija, hulazimika kutegemea misaada na mikopo kutoka nje, Mradi wa EACOP manufaa yake tunategemea hisani zaidi #KataaEacop#EacopNiTishio