@ReganTesla_ Pooe sana Regan Hii hali mwenyezi Mungu akusaidie Presha ni changamoto Kazana kufanyia massage maeneo Uliyopigwa Stroke na Mafuta ya Mnyonyo Mazoezi pia yanasaidia sana Lakini kaa mbali na mambo yoyote yanayokupa Hofu nk Usikae ndani mwenyewe Ukipata muda sikiliza mahubiri
@marthamshana_ Nina package ya Medicube product Sema ndio mvivu balaa swala la Kunawisha uso na facial wash mara toner mara serum mara facecream mara sjui nini Aisee Skin care pamoja na yoote uwe na muda na usiwe mvivu 😂😂😂😂😂😂😂😂