@halimamdee Pesa za rambirambi zisiwe fursa za wafiwa kuondokana na umaskini bali zitumike kwa maslahi ya taifa kama serikali inavyofanya. Think postvly
@halimamdee@YouTube Mjinga wewe hujielewi na kwamwenendo unaoenda hatutarudia makosa tena 2020 maana hatukukutuma ukaongee matusi na kumtukana spika bungeni