Bado tuna tatizo la ajira nchini kwetu, niziombe mamlaka za elimu zitilie mkazo swala la elimu ya ujuzi (skills) ili vijana wamalizapo waweze kujitegemea.
Nimekuwa na nitaendelea kuwa mstari wa mbele katika kusisitiza umuhimu wa Elimu bora na kwa wote, Elimu inayowaandaa vijana kuingia soko la ajira la dunia na pia kuwawezesha kujitegemea baada ya masomo.
#ElimuElimuElimu
Natoa pole kwa familia, ndugu, jamaa na marafiki kwa msiba mzito wa rafiki na kaka yangu @regmengi
Ni msiba mzito kwetu sote, wasaa huu niwakuyaenzi maisha yake kwa kufuta na kutafakari dira na mawazo yake, pamoja na mengi aliyoyafanya kugusa watu
Alale mahala pema peponi
Amen
I'm saddened and shocked by the immediate passing of our brother Koffi Annan; he was one of the worldโs renowned peace advocate, my heart and prayers goes out to his family, the people of Ghana and all of us touched by his passing.
May his soul rest in peace.
#RIPKofiAnnan
Tunapouanza mwaka huu mpya niwaombe watanzania wenzangu tukatae kugawanywa kwa sababu yoyote ile.
Umoja na mshikamano ndio nguzo yetu.
Nawatakia Heri na Fanaka ya mwaka mpya 2018.
Glad to have witnessed the inauguration of my brother @UKenyatta
I applaud the initiative you have taken today of opening your borders and businesses to your fellow African brothers and sisters..This is indeed a new dawn at hand in Africa.
Hatuwezi kugombana na kuchukiana kwasababu ya Kuhama vyama na wala tusikubali kubaguliwa hivyo, sisi ni Watanzania Kwanza.
Lakini binafsi bado naamini Mabadiliko ya kweli yatatoka nje ya CCM.