"Quality Education empowers people and levels the playing field; it is one of the best tools for poverty alleviation, social equity and inclusive growth. FREE MUST NOT MEAN SUBSTANDARD", (Virola, 2019)
@MarekaMalili Indicator Mojawapo ya poverty ni proportion ya kipato chako unachotumia kwenye CHAKULA. kama kipato chako chote au asilimia kubwa unatumia kwa CHAKULA hiyo inakuwa inaashiria dalili ya Umasikini, kwamba no saving, and if shock ikitokea unakuwa harini kukosa hata hicho chakula.