Ukipewa mchongo na mwana wa deal ukafanye kwa mtu mwengine hakikisha unatoa mrejesho kwa aliekupa connection
Tujifunze kuwa na mrejesho, watu hawataki cha juu kuna wakati wanahitaji heshima tu na appreciation.
👉Bank za TANZANIA huwa zipo hivi, kwanza zina counter sita ..safi sana.
👉Sasa Ktk hizo counter sita mbili tu ndo zina wahudumu😂 na hao wahudumu mmoja ni wakike kanunaa, na huyo mwingne ni mwanaume anaingia na kutoka😂😂 #wajumbefunfriday@CRDBBankPlc@NMBTanzania@babalao__
I am deeply saddened by the news about the passing on of the former President of Ghana, H.E. Jerry John Rawlings. My condolences to Your Excellency Nana Akufo-Addo and the brotherly people of Ghana for the loss of this Great-man of Africa. May his soul rest in peace, Amen.