@robkidayo_ Kuna suala linatrend uko insta lakumpigia kura mdada mtanzania anae compete kweny shindano la miss uko nje, hio imesababisha hadi kina twaha mwaipaya na wenzake kuanza hamasisha kumpigia kura mpinzani wa yule miss mtanzania
@robkidayo_ Ivi unafahamu watu wakifungishwa ndoa halafu wasipokutana kimwili baada ya apo ndoa inakua haijakamilika?. Napia unajua kati ya kigezo kikubwa cha kuvunja ndoa ni mtu kutopata tendo la ndoa kutoka kwa mwenza wake
@Thommunkondya Asilimia 99, hujui sababu. Chacha si kshasema jana. Kama mnajiamini wekeni free and fair election. Vyombo vya dola vikae pembeni muone mtakavyopigwa๐๐
Si lazima nielewe kila kitu ambacho Mungu anafanya ili niendelee kumwamini.
Mawazo yake ni makubwa kuliko yangu, na njia yake inaweza kuwa bora kuliko niliyoipanga.๐๐ผ
Na unapoomba usiku wa leo, weka mbele za Mungu yale ambayo huwezi kuyatatua.
Majibu usiyo nayo, milango isiyofunguka na yaweke mikononi mwa Mungu.
Lala ukijua kuwa Mungu halali kamwe, na ukumbuke kwamba kwa kuwa rehema zake ni mpya kila asubuhi, kesho itakuwa siku njema zaidi.