Kuna muda utapata, kuna muda utakosa, kuna muda utafeli, kuna muda itabidi uwe mdogo kama piriton, kuna muda utalia, kuna muda utatafakari, ni muhimu ukiwa kwenye hizi nyakati umkumbuke Muumba wako, usikate tamaa, wakati wako utafika utaangaza tena.
#DontLooseFocus