@fatma_karume Yan hiki Kidada kinajionaga chenyewe kinajua kila kitu duniani, Sijui ndo kwakua Mtoto wa rais anaona sisi wa TZ hatujielewi ila yeye tu ndo anakuaga sahahi
''#JUU: Treni ya SGR Kenya. Kila behewa limenunuliwa kwa KES 51.5M ambazo ni sawa na TZS 980M za kitanzania.
#CHINI: Treni ya SGR Tanzania. Kila behewa limenunuliwa kwa wastani wa TZS 2.5 Bilioni, yani milioni elfu mbili na mia tano. Nini maoni yako?''- Malisa GJ
Watanzania wanalia umeme, maji, Bando, milo hata miwili, matibabu na ada ya shuke. Watoto wa wakina Mwamvita Makamba wanazunguka na kufanya party kwenye Gulf-stream 500 Private Jet. Hii Ndege kwa siku inakodiwa $200,000. Wanatoa wapi hizi fedha? Watanzania amkeni. Nchi ni yetu.