🚨Nissan X trail new Model aka kichechede..
.
Moja ya SUV nzuri inayochukuliwa poa, najua utakua umejiuliza uzuri gani unaongelewa hapa..
.
Sasa mambo yasiwe mengine ndani ya dakika tano naenda kukupa uzuri na ubaya wa hii gari..
.
So gonga RT andaa popcorn uanze kula madini..