Before International Men's Day Ends
Here are recommended list of BOOKS for every MAN who wants to get better
From Mindset ➡️ Money ➡️ Sexuality ➡️ Parenting ➡️ Escape the Matrix
THREAD 🧵 👇
.
JUST IMAGINE… NANI SASA ATATU COMFORT KAMA SERIKALI INATUZODOA?
Yaani Wananchi wana raise concern juu ya taharuki ya watu KUPOTEA, KUTEKWA na baadhi KUUWAWA, alafu Sauti ya Serikali (Msemaji Mkuu) hatua ya kwanza anayochukua ni ku-UNDERMINE & DOWNPLAY the issue?! Seriously?! smh
There is a very serious VACUUM in our Leadership jamani hadi natamani kulia. Hata tulivyokuwa Watoto tuliongozwa vizuri zaidi ya hivi; yaani Mzazi anakuchapa, unalia, then yeye huyo huyo anakubembeleza OR anakwambia “nani kakuchapa tema mate tumchape” unatema kwenye mkono anajipiga mwenyewe then wewe unanyamaza. Imagine the Protector & Comforter of the People (GOVERNMENT) can’t even do that old trick, instead anatu GASLIGHT. Sijaongea zaidi ya mwaka kuhusu mengi, nimekuwa kimya napambana na maisha binafsi, ila sio kama sioni na sisikii, na siguswi.
Ila siwezi kaa kimya kwenye hili, Familia za watu zimeachiwa simanzi na majeraha, Msemaji Mkuu wa Serikali anasema “kupotea ni Mchezo tu”. Mzee Kibao katekwa na kauwawa, Deusdetius Soka katekwa (Nililia kuona clip ya Bibi yake akilia), Sheikh kauwawa Zanzibar, Mdude Chadema katekwa na tumeona damu za kuashiria kuumizwa in the process, allegedly Humprey Polepole ametekwa na kuna Damu pia (kama kwa Mdude), na wengine wengi ambao sio maarufu ila watu wame ripoti. And that is the best response ya serikali?
Yaani bora useme “No Comment” kuliko ku-justify vitu kwa logic za kitoto. Shame on you Msigwa!
I hope mnatambua sumu mnayoipika… in due time you will.
The Leader
@CAF_Online Hello @CAF_Online Football in Tanzania is no longer safe. A major club like @Yanga1935 has abandoned sportsmanship and aligned itself with the ruling party (CCM) linked to killings, abductions and persecution of citizens and opposition members. This destroys the image of football