Wengi hukuita Ngamia
Mi nitakuita my dia
Kwa mpesa niko na mia
Mtura uje huku nitakubuyia
Kisha unipe somalia
Since you're tired from travelling just rest don't reply akii. I don't deserve you
Pale campus, leader ndo upewe votes ilikuwa lazma utuleweshe ๐๐
Tulikuwa tunaanzia Njokerio kwanza Keg zinaanza kuamsha mashetani, lorry ya campaign itupeleke Farmers Inn tupewe makali, then tukuje kupiga roundi na hiyo lorry. The merrier your lorry, ulikuwa unavotiwa 6am๐๐
Kupatana na my ex akiwa kwenye steering wheel ya CX 5, mimi kwenye crocs kama nimeanza pilot duties na taxin was not on my bucket list leo๐ญ๐ญ๐ญ
Nikama i was holding her back
Kupatana na my ex akiwa kwenye steering wheel ya CX 5, mimi kwenye crocs kama nimeanza pilot duties na taxin was not on my bucket list leo๐ญ๐ญ๐ญ
Nikama i was holding her back
Kitambo KDF ilikuwa so mystical kwangu I used to think they came from heaven nikiwa mdogo watching Madaraka etc. after moving to Lanet and lived there for two years, nilikuja kujua ni watu bladfuckin sana. Walevi, assaulting their wives, unruly basically very stupid people
KDF lost value.They all reduced to Politician worshippers.Yaani mwanasiasa anawaagiza mtuue na mnatuua.
our Revolution will be 100% Civilian overhaul. tuone wapi mtajificha after tumeny0nga hao poliSHItians mnatumikia