Jiji la London limefurikwa na Mashabiki wa Arsenal waliojitokeza kwa wingi kushuhudia gwaride la kusherehekea ubingwa wa klabu hiyo.
Kwa mujibu wa taarifa za Polisi Nchini Uingereza, zaidi ya Watu milioni 1.5 walihudhuria hafla hiyo, idadi inayotajwa kuvunja rekodi ya mkusanyiko mkubwa zaidi kuwahi kushuhudiwa katika gwaride la michezo Nchini humo.
Arsenal ilitwaa taji la Premier League ‘EPL’ baada ya msimu uliokuwa na ushindani mkubwa, huku kikosi kinachonolewa na Mikel Arteta kikionyesha kiwango cha juu hadi kufanikiwa kutwaa ubingwa uliokuwa ukisubiriwa kwa hamu na Mashabiki wake.
Wakati wa gwaride hilo la kihistoria, Mashabiki walijaza barabara kuu za London wakipeperusha bendera, kuimba nyimbo za klabu na kuwashangilia Wachezaji waliokuwa wakipita kwenye basi maalum la wazi. #MillardAyoUPDATES
𝐂𝐇𝐀𝐌𝐀 𝐅𝐎𝐑 𝐅𝐈𝐅𝐀 𝐏𝐔𝐒𝐊Á𝐒 𝐀𝐖𝐀𝐑𝐃.
Dunia imeona bao bora zaidi mwaka huu ni kutoka kwa Mwamba wa Lusaka, Clatous Chota Chama. Utamu wa bao hili zaidi ni kumfunga mtani na kuchangia mtu kuliwa kichwa.
Jambo la kufanya kwa Mwanasimba ni kutag akaunti ya @FIFAcom ujumbe uwafikie mapemaaaaa!!! #NguvuMoja
@EsirEid Kiufupi hataingekuwa na faida betting ni haram. KUBET NI DHAMBI KUBET KUNAHARIBU UCHUMI WA NCHI NA KUWAFANYA VIJANA WENGI WAZIDI KUISHI KWENYE UMASIKINI NA KUWA NA MSONGO WA MAWAZO
@Sativa255 Watu wanamlaumu taivina kushirikiana na Mwanachama wa CCM ila wao kupanda Abood, Shabiby, kusupport biashara za Wawekezaji wengi wa Yanga na Simba ambao ni Wanachama wa CCM wanaona sawa😂