Betting asee ππ»ππ»
Unakuta umebet 50K ili upate kama 1M Halafu inachana timu moja. Sasa ajabu ni kwamba unaumia umekosa 1M ambayo toka mwanzo haikua yako lkn sio unaumia umepoteza 50K ππ
Imekaaje hii?π€·π»ββοΈ

Nina binamu yangu tulimaliza nae darasa la 7 Lkn hakufaulu, mjomba akampeleka kusomea ufundi welding. Siku nimetoka chuo nikaenda kijijini nikakuta dogo amejenga nyumba ya vyumba vitatu, Pia ameoa ana mtoto kaanza shule.
Nilikaa chini nikatafakari sana maisha yangu sikupata jibu.