@OleMtetezi Toa ujinga wako hapo hii @ChademaTZ2 ya nginjanginja ha idili na wasaliti tunapuliza dawa kutoa chawa wote hakuna mtu maarufu zaidi ya chama!
@millardayo Yaani kwa kauli ya kuirudisha serikali madarakani kuna uchaguzi hapo!,tukuja piga kura siku tukiwa na uchaguzi wa wazi,hasa hv tunasema #NoReformsNoElection.