Unataka kujenga nyumba yako mwenyewe? Tunakusaidia!
Tunatoa ramani za nyumba za kisasa na za kifahari kwa bei nafuu.
Ramani zetu zina muundo wa kipekee na zinazingatia mahitaji yako yote.
Wasiliana nasi leo kwa maelezo zaidi.
WhatsApp: https://t.co/Z3myqGp8Yj
PIGA:0621639485
Just imagine waking up in this tranquil master suit every morning! This 3-bedroom design is a haven for relaxation.
WhatsApp: https://t.co/JJukcg1hwC
PIGA:0621639485
UKICHAGUA KIWANJA KWENYE RAMANI HII NI HATARI.
Kama umetumiwa ramani hii ya upimaji kwaajili ya kuchagua kiwanja na kampuni au mtu basi ujue kabisa HICHO KIWANJA HAKIJAPIMWA na HUWEZI KUPATA HATI MILIKI vile vile unaweza kuwa unanunua katika eneo la wazi,eneo la barabara,eneo la shule NK.
Watu wengi mmekuwa mnioneshwa ramani za viwanja ambazo sio halali ambazo hazitambuliki na serikali(wizara ya ardhi).
Ukiona unachagua kiwanja katika ramani kama hii chini basi ujue unanunua kiwanja ambacho hakijapimwa.
Ramani ikiwa wazi katika gaps nilizozungusha na wino mwekundu ujue hiyo ramani haitambuliki na serikali hivyo bado hapajapimwa.
@ArchonlyStudio Nimeichek yote mkuu, shukrani sana
Sema HDRi unatumia day namba ngapi ili sky iwe clear ivo, then nilikua nasubiri ktk light settings lakini sijaiona. Part two yake inatoka lini mkuu?
Kazi nzuri, fanya marekebisho kidogo Mhandisi, mlango wa kuingilia uko wapi ktk hiyo bedroom karibu na veranda. Then choo cha master rekebisha position ya mlango na orientation ya sink.
HIDDEN ROOF HOUSE πͺποΈπ―
DETAILS
1. Self Bedroom
2. Single bedroom
3. Public toilet
4. Kitchen
5. Sitting room
Bati 40
Block 2500
Size 10*8
Uwanja kuanzia 15x15m
Ramani yake ,ππ
https://t.co/BgWSo23ch3
βοΈTunaye Fundi Mtaalamu wa hizi Hidden roof atakufanyia kazi yako.ποΈ