Vijana_Imani Cathedral Church_DMZV
Ziara ya Kwanza mwanzo wa miezi ya Mwaka 22.
Moja ya Alama ya miradi mikubaa kwa Vijana wa Kanisa Kuu-DMZV
HONGERA SANA VIONGOZI WETU WA IDARA.💡
#buchosa@Eliathetruth@rodrickgodwin
@kamndegodlisten @kibaste_@SiaraNeema@grace
Mchumba akikukataa USIFE kwa ajili yake mwite umshukuru Mungu pamoja naye, tena uombe OMBI HILI "BWANA NAKUSHUKURU KWA KUWA UMENIEPUSHIA KIKOMBE HIKI". Mwite "KIKOMBE" akiwa anasikia..
Lakini ikiwa kwako MUNGU ni wakwanza kwa kila jambo.
1 Wakorintho 7:22
"Kwa maana yeye aliyeitwa katika Bwana hali ya utumwa, ni huru wa Bwana. Vivyo hivyo yeye naye aliyeitwa hali ya uhuru, ni mtumwa wa Kristo."
Hata katika huo unaodhani ni ujinga wao, ipo hekima nyuma yake. Lisilo la maana kwako laweza kuwa na maana kwao. Tafuta kuielewa hiyo hekima yao na mengine yote utafunuliwa!