@FredJohns587599 @mangekimambi Zile sauti za mitutu zinatisha mzee, isitoshe unaona kabisa wengine wauwawa kabisa mbele yako, huko inchi za jilani huwa hawauwi kama kwetu ni mabomu ya machozi tu
@Tinolove15 Tofasili yake ni kukutana mara moja kigongono bila makubaliano ya kuwa na mahusiano, labda mmekubaliana usiku mmoja au siku moja umlipe muishane