Wengi wamemjadili Trump na Zelenskky lakini wachache wameona na kuelewa hali aliyopitia mama Oksana Markarova balozi wa Ukraine nchini Marekani. Wakati wa majibizano ya Marais hao, balozi huyu aliinamisha kichwa chini akafunika uso wake huku akielewa kuwa Diplomasia imekanyagwa.
@Dr_DGwajima Uwezeshaji ukiwa kwa njinsia moja tu, baadae tutapata taifa la wanaume dhaifu (mentally and socially) na hakuna kitu hatari kama wanaume dhaifu. Taifa kwa ujumla litakuwa limepata hasara kubwa na maadili yatadidimia zaidi. Soma utafiti kuhusu madhara ya single parenting,
@Dr_DGwajima Safi sana mhe. @Dr_DGwajima. Total gender inclusion ndo inahitakija. Dunia imebadilika sana, na sio wanawake tuu bali hata wanaume pia wanahitaji kutetewa haki zao.
Lakini pia, unanyanyasaji uko pande zote, sema wanaume wengi hawasemi jinsi wanavyo nyanyaswa.
@Dr_DGwajima Hapana, siongelei wanawake wajawazito. Hata wanaume wana conditions ambazo hawawezi kufanya kazi ngumu. Am talking about normal condition.
Shida ipo pale ambapo sera na serikali ina prioritize wanawake zaidi. Mimi nadhani kila mtu, mwamaume kwa mwanamke anahitaji haki
@Dr_DGwajima Kwa sasa, kwetu hapa Tanzania, bado kazi za misuli zipo, tena nyingi sana.
1. Kuchimba mitaro
2. Ujenzi.
3. Uokoaji katika majanga
4. Uvuvi
5. Uchimbaji wa madini
And the like........
Kwa nini ni nafasi za uongozi tuu ndo wanawake hutaka? Huoni kua huo ni ubaguzi?
@Dr_DGwajima Ndio, wabunge wanawake wa majimbo wapo. Na hicho ndo kinahitajika. Kuwa na wabunge wa viti maalum ni ubaguzi na inaonesha kuwa wanawake hawawezi wenyewe mpaka wapewe nafasi. Kimsingi ni sera ya kibaguzi na isiyo ma usawa.
@Dr_DGwajima Kwa sasa uvaaji wa wanawake umekuwa mbaya sana, na kadri siku zinavyoenda ndo mavazi mabaya yanazidi kuongezeka. Wizara inaonaje hili swala, ama ndo liberation ya mwanamke?
Interview ya Huyu shabiki wa Yanga, jana kwenye mechi ya Azam na Yana
Kama huna D2 hutoboi ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
๐+โ๏ธ = ๐๐
Video kwa Comments๐๐พ