Ngoja niwaambie ukweli, hiki chama cha ccm kisipotolewa na kisiwepo tena kabisa tutauwawa tuishe . Ccm ndio wauwaji, magaidi na hakina tofauti na alshababu, na. Boko haramu wala Hamas NI LAZIMA HIKI CHAMA KIFUTWE TUTAKIFUTA SOON
"Ninamshangaa Mufti na ninaishangaa Shura ya Maimamu mpaka leo hawajatoa kauli kulaani jambo hili, hili jambo halifai kufumbiwa macho. Kama yeye Sheikh Mwaipopo amenzisha Temeke, wakatoliki wakaanzisha Mbeya, Walutheri wakaanzisha Tarime na wengine....
Msingi wa Utendaji Kazi wa POLISI kwenye masuala ya Jinai, ni “UPELELEZI”. Kwa hiyo, Polisi inafanya “UPELELEZI kuhusu SHEHE SAIDI MWAIPOPO ili kujiridhisha kama SHEHE huyo SIYO “EIAI”.😂😂
MASWALI MUHIMU:
1. Je, kwenye MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA ya Tanzania kuna cheo cha SHEHE?
2. Je, kwenye MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA ya Tanzania kuna KIKOSI kinaitwa MBWA MWITU?
3. Je, kwenye MAJESHI YA ULINZI NA USALAMA ya Tanzania kuna KAMANDA anaitwa SAIDI MWAIPOPO?
@PMadeleka Unaanza kuongea USENGE SASA ,,Ila hatuja sahau kuwa na wewe ulikuwa kibaka wa polisiCCM pengine bado unatumika na mfumo. Tunaendelea kuku zoom
Mwenyekiti wa CHASO katika Chuo Kikuu cha SAUTI Mwanza Silence Mwakasala, amefunguka kiundani mara baada ya kuachiwa kwa dhamana ya masharti leo, Juni 19, 2026, akibainisha kuwa Jeshi la Polisi lilienda kumkamata kwa tuhuma za kuchapisha vipeperushi vya kuhamasisha maandamano ya tarehe 7 Julai, lakini walipokosa ushahidi walihamishia tuhuma hizo kwenye mikataba ya mikopo.
Mwakasala, mwanafunzi wa sheria wa mwaka wa nne katika Chuo Kikuu cha Mtakatifu Agostino (SAUT), ameiambia Royal tv kuwa upekuzi uliofanyika ofisini kwake (stationery) na nyumbani kwake haukukuta vipeperushi hivyo vya siasa, jambo lililowafanya polisi kugeukia mikataba ya kukopesha fedha na kadi za watu walioweka dhamana na kusema hawawezi kumuacha hivi hivi.
Kiongozi huyo ameeleza kuwa shinikizo la kupata dhamana hiyo asubuhi ya leo limetokana na hofu ya wito wa Mahakama Kuu baada ya mawakili wake kufungua maombi ya dharura ya Habeas Corpus namba 202606172000013657, ambapo alitolewa selo ghafla saa nne asubuhi baada ya nyaraka hizo kufika kwa RCO.
"Haki zangu hazikufuatwa, nimekaa siku tisa kwa kigezo cha uchunguzi. Walipokosa vipeperushi vya maandamano ya tarehe saba, walikuta mikataba ya kukopesha fedha ofisini kwangu wakasema wakikosa huku watanishika kwenye hili la mikataba. Walivyotoa dhamana leo, walikataa nisidhaminiwe na chama, wakamlazimisha Dean wa chuo anidhamini kwa sharti kuwa nikiacha siasa nitakuwa salama," amesema Mwakasala.
Mwakasala anatakiwa kuripoti polisi Jumatatu asubuhi, na kuhusu kufika Mahakama Kuu Juni 23 mbele ya Jaji Emmanuel Gingwana, atasubiri mwongozo wa mawakili wake.
Ametoa wito kwa serikali akieleza kuwa wasomi wanaochagua kuwa upande wa upinzani vyuoni wanapitia wakati mgumu mno chini ya jalada la uchunguzi namba 61/2026.
@assengajrr Tatizo watu mnadharau sasa hivi kachukue uwanja Bagamoyo Goba hapo 2010 vilikua rahisi Watu wakakimbilia Kimara kulikua hakuna Lami watu wanachoma tu mikaa mapori
🚨 BREAKING: WE WON TODAY! 🚨
We did not give up. We did not stay silent. Today, we moved one step closer to justice.
The Reassessing the United States–Tanzania Bilateral Relationship Act has passed the Senate Foreign Relations Committee and now advances forward.
This moment belongs to every mother who buried a child, every family still searching for answers, every victim of violence, every religious leader who stood firm, every journalist who spoke the truth, every activist who refused to be intimidated, and every Tanzanian who never stopped believing that accountability matters.
This is not the finish line.
But today, the world heard Tanzania.
Today, truth prevailed over propaganda.
Today, hope prevailed over fear.
Today, we moved one step closer to justice and accountability.
To everyone who prayed, advocated, testified, contacted congressional offices, shared evidence, and refused to look away-thank you.
The journey continues, but today we pause to thank God.
Justice delayed is not justice denied.
Safari bado inaendelea- ila leo haki imeshinda💪🏽
Thank you also to all senates and their staffers that heard our cries.
🇹🇿🙏🏾🇺🇸
🚨 HABARI NJEMA: TUMEPATA USHINDI LEO!
Hatukukata tamaa. Hatukukaa kimya.
Leo tumepiga hatua moja muhimu kuelekea haki.
Muswada wa Reassessing the United States–Tanzania Bilateral Relationship Act umepitishwa na Kamati ya Mahusiano ya Nje ya Seneti ya Marekani (Senate Foreign Relations Committee) na sasa unasonga mbele katika hatua zinazofuata.
Ushindi huu ni wa kila mama aliyempoteza mwanae, kila familia ambayo bado inatafuta majibu, kila mwathirika wa ukatili, kila kiongozi wa dini aliyesimama imara, kila mwanahabari aliyesema ukweli, kila mwanaharakati aliyekataa kutishwa, na kila Mtanzania ambaye hakuwahi kuacha kuamini kwamba uwajibikaji ni muhimu.
Huu si mwisho wa safari.
Lakini leo, dunia imeisikia Tanzania.
Leo, ukweli umeshinda propaganda. (Niliwaambia ile picha ya mkono wa bendera ya Tanzania ikishikana na ya marekani yaliyochapishwa na hayo magazeti yaliyonunuliwa ni propaganda- leo si kimewaka?)
Leo, matumaini yameshinda hofu.
Leo, tumesogea hatua moja karibu zaidi na haki na uwajibikaji.
Kwa kila aliyeomba, aliyehamasisha, aliyetoa ushuhuda, aliyewasiliana na viongozi wa Marekani, aliyeshiriki ushahidi, na aliyekataa kugeuza macho yake pembeni -asanteni sana.
Safari bado inaendelea, lakini leo tunasimama na kumshukuru Mungu.
Haki iliyocheleweshwa si haki iliyonyimwa.
Now muachieni na Lissu
🇹🇿🙏🏾🇺🇸
#justiceforTanzania
Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Bw. John Mnyika amesema 'kamatakamata' inayoendelea ya Viongozi na wanachama wa Chama hicho kwa kuhusishwa na maandamano ya Julai 07, 2026 si matukio ya bahati mbaya bali ni mpango wa makusudi wa Vyombo vya dola unaochochewa na taarifa za uongo ndani ya vyombo hivyo vya dola.
Mnyika amebainisha hayo leo Jumatano Juni 17, 2026, akilitaka Jeshi la Polisi kupuuza taarifa hizo za uongo na badala yake wamkamate Katibu wa Itikadi, uenezi na mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi Bw. Kenani Laban Kihongosi aliyedai kufahamu njama na vikao vyote vinavyofanywa na Chadema katika kuratibu maandamano hayo yanayohamasishwa kufanyika mwezi Julai mwaka huu.
"Tuliambie jeshi la polisi lisitishe hiyo kamatakamata ya Viongozi wa Chadema kwasababu taarifa wanazodai kuwa ni za kiitelejensia wanazozitumia ni taarifa za uongo na badala yake wamkamate Kenani Kihongosi aliyesema anajua kuna kikao cha Chadema kimekaa mahali fulani kupanga vurugu ili Kenani Kihongosi akalieleze Jeshi la Polisi hicho Kikao cha Chadema kilikaa wapi, kiliwahusu akina nani? Tunataka kuona Kenani akikamatwa na kuhojiwa." Amesema Mnyika.
Katika hatua nyingine Mnyika pia amesema wanataka Ofisi ya Msajili wa Vyama vya siasa ambayo imekuwa ikiiandikia Chadema barua kila wakati kwa mambo yasiyokuwa na maana, iamke sasa na kuchukua hatua dhidi ya taarifa hiyo ya Kihongosi aliyoitoa kwa umma.
WITO WA JESHI LA POLISI KWA MWENYEKITI WA CHADEMA KANDA YA PWANI, MH. BONIFACE JACOB
CHADEMA Kanda ya Pwani inapenda kuujulisha umma kuwa Mwenyekiti wa Kanda ya Pwani, Mh. @ExMayorUbungo, amepokea wito wa Kufika ofisi za RCO, Mkoa wa Kipolisi Kinondoni siku ya Kesho Jumanne Juni 16,2025.
Kwa mujibu wa taarifa tulizopokea kutoka kwa Mwenyekiti wa Kanda akiwa safarini kuelekea Ifakara Morogoro kwa ajili ya kushiriki mialiko ya mikutano ya hadhara ya CHADEMA Kanda ya Kati (Mkoa wa Morogoro) ameeleza kuwa amepokea simu kutoka Jeshi la Polisi Kimara (W).
Katika mazungumzo hayo, amearifiwa kuwa Polisi Wilaya ya Kimara wamepokea maelekezo rasmi yanayomtaka kufika katika Ofisi za RCO, Mkoa wa Kipolisi Kinondoni ,Dar es Salaam siku ya kesho Jumanne, tarehe 16 Juni 2026.
Jeshi la Polisi limemtaka kuwa anapofika katika ofisi hizo, aongozane na Mawakili wake au watu wake wa karibu.
Kufuatia wito huo, ninatoa rai na kuwaomba Mawakili wetu, Viongozi wote wa Chama (CHADEMA), Wanachama na Wapenda Haki wote kuungana pamoja na Mwenyekiti wa Kanda kuelekea Polisi Siku ya Kesho Jumanne Juni 16 , 2026 Kuanzia Saa 3:00 Asubuhi katika Ofisi za RCO, Mkoa wa Kipolisi Kinondoni, Dar es Salaam.
Imetolewa na:
Ntele Benjamin @ntele_bh
Katibu, CHADEMA Kanda ya Pwani
Juni 15, 2026.