Wakati wa Magufuli IMF ilitoa takwimu kwamba GDP per capita yetu imepanda hadi $2,400 na tukaingia kwenye orodha ya nchi za uchumi wa kati (Lower middle Income). Leo IMF haohao wametoa takwimu kuwa GDP per capita imeporomoka hadi $1,300. Nini kimetokea?
Wakati ule tumeingia Uchumi wa Kati Machawa waliongea sana, kila kitu wakasema uchumi wa kati. Gari la uchumi wa kati, nyunba uchumi wa kati, simu uchumi wa kati. Hata mapenzi nayo yakawa ya uchumi wa kati. Lakini leo watazipita hizi takwimu za IMF kama wanaaga maiti.
Kutoka $2,400 hadi $1,300 something must be very wrong. Kwa kifupi purchasing power ya Mtanzania imepungua kwa karibu nusu. And this is not abt politics its abt economy. Nyie askari wa doria mnaopita mitandaoni kutafuta umbea, msilete mihemko. Hapa tunajadili uchumi. Najua hata nyie mmepigika, kwa hiyo kaeni kwa kutulia mpate shule ya uchumi.
Nini kimetokea mpaka tumetoka nchi ya uchumi wa kati hadi miongoni kwa nchi fukara duniani? Wastani wa pato la Mtanzania mmoja mmoja lilikua $2,400 (karibu TZS 6M) kwa mwaka, lakini ndani ya miaka michache limeporomoka hadi $1,300 (TZS 3M). Tumefikaje hapa na tunatokaje?? Wachumi tusaidieni.!
Credit @MalisaGJ_
@goligani Wao walisharidhiana kitambo mbona. Si umeona wameshiriki uchaguzi fresh na chama chao kina dadi viongozi huko SMZ . USIWAAMINI ACT HATA SIKU MOJA
TUNAOMBA MSAADA WANANGU KWA NDUGU ALIYEKATWA MGUU BAADA YA KUPIGWA RISASI #MO29
YAS: 0677933081
Jina AYOUB FREDRICK SIWALE
AKAUNTI YA NMB: AKAUNTI NAMBA: 24310058356
JINA LA AKAUNTI: AYOUB SIWALE
Ili kuwasiliane nae moja kwa moja, mawasiliano yake zaidi haya hapa
Namba: 0687952601
REPOST 500
TUTAKUWEPO🫵😎
@godbless_lema It starts with pain, starve, ignoranc and even death, yet death that bring freedom to others. Hiki ni kitu napenda . Lakini haina maana kwamba matokeo ya moja kwa moja ya siasa na harakati za sasa zitachange kila kitumoja Transition demand times. Tisikate tamaa tuwe wavulivu
@MariaSTsehai Hatuweze kusamehe mpaka
4. Kuachiliwa huru kwa ndugu zetu walioko magerezani kwa kesi za kugushi bila masharti yoyote
5. Hatuwezi kusamehe mpaka utakaji na ubambikiaji wa kesi utakapo koma na hili ni mpaka tuthibitjshe
MOTO UNAWAKA MAMAEE🤣🤣🤣
GEN Z KWA MASAA 10 TUMECHANGA MILIONI 5 KWA BABA YETU TUNDU LISSU. TUMEAMUA KUFUNGA MWAKA NA TUNDU LISSU BABA YETU.
MASAA HAYA 48 NI YA GEN Z NA LISSU. KWAHIYO KAMA HUJASHIRIKI ZOEZI HILI UNACHELEWA MAELEKEZO YAPO KWENYE BANGO HAPO.
WANANGU MWAGA MOTO WA KUTOSHA HAPO MAMAEE🔥🔥🔥
REPOST 200
TUTAKUWEPO🫵😎
Niliwahi kuuliza hili swali hapa chini kuhusu SGR!
@HecheJohn@godbless_lema & co.
C&P⬇️
NATAMANI KUFAHAMU MIPANGO YA KUENDESHA SGR
Tangu kuanzishwa kwake 1970s, reli ya TAZARA imekuwa ikifanya kazi kwa hasara.
Freight capacity ya TAZARA ni tani milioni tano kwa mwaka. Lakini ni asilimia 4% tu za huu uwezo zimekuwa zikitumika.
Kwa mfano, mwaka 2023 TAZARA ilisafirisha tani 251,264 tu, sawa na asilimia 5.02% ya uwezo.
Kwenye report ya kamati ya bunge miundombinu 2020, kamati ilionesha wasiwasi wa TAZARA kufilisika na kuomba serikali iingilie kati angalau kwa kuipa mtaji wa kujiendesha.
Reli ya Kati, Dar-Kigoma nayo ina ugonjwa huo huo. Ina uwezo wa kubeba tani millioni tano kwa mwaka lakini mzigo ambao imekuwa ikibeba mpaka hivi karibuni haufiki hata asilimia 3% ya capacity yake (rejea taarifa ya Central Corridor Transit).
Reli ya Dar-Arusha ndio kama ilishakufa kabisa, haina hata maana kuzungumzia capacity yake.
Hii miradi inatengenezwa kwa fedha za watanzania maskini na jasho lao.
Kama sikosei TAZARA ni credit ya serikali ya China na juzi tumeiombea mkopo Benki ya Dunia dola million 200, zaidi ya Bilioni 500, kuiboresha.
[Kama sikosei leo Rais @SuluhuSamia na Rais wa Zambia wamekaa na viongozi wakuu wa China kuzungumza kuhusu mkopo mwingine wa TAZARA].
SGR na yenyewe hivyo hivyo, tumekopa kila kona kuijenga. Juzi tu Benki ya Standard Chartered imetukopesha Trillion tatu za huu mradi. Tunaambiwa mpaka ukamilike utatumia zaidi ya trillion 23 zitakazolipwa kwa kodi za watanzania.
Reli ya Dar-Arusha nayo hivyo hivyo, juzi Rais Magufuli ametumia zaidi ya Bilioni 10 kuifufua na sina hakika kama inafanya kazi hivi sasa.
Swali la msingi tunalotakiwa kujiuliza ni hili, ni mipango gani maalum iliyopo itakayohakikisha SGR haigeuki kuwa TAZARA na reli nyingine ambazo ama zimekufa au zinaelekea kufa?
Ni kweli SGR ni “MRADI WA KIMKAKATI” lakini faida yake haipo kwenye uwepo wake tu. Faida ya SGR itakuwa kwenye kutumia uwezo wake.
Kuna mipango gani itakayohakikisha kuna uzalishaji wa kutosha utakaoiwezesha SGR kusafirisha mizigo inayoendana na capacity yake?
Ni mikakati gani iliyopo itakayohakikisha SGR inakuwa competitive kiasi cha kushindana na biashara za malori ya mizigo na mabasi ya abiria?
Mi utaratibu gani umeandaliwa ili kutengeneza co-existence ya SGR na njia nyingine za usafirishaji ili kuhakikisha kuwa sekta zote zinasaidiana kukua kwa maslahi ya watanzania watanzania badala ya sekta moja kuiua nyingine?
Kwa sasa tupo katika euphoric state kwa sababu ya upya wa SGR, lakini baada ya muda mfupi tu SGR itageuka kuwa huduma ya kawaida.
Ni mipango gani itakayotuendesha baada ya hii “ashki” kuisha?”
Rais @SuluhuSamia , @tzrailways
Diaspora mwenzetu mkazi wa USA— Thadei Kweka ametekwa na vikosi vya Samia usiku huu. Polis na watu wasiojulikana wamevamia nyumbani kwake Moshi. Baadhi ya polis wametambulika kuwa ni wa Hai.
#Tutashinda#SamiaMustGo