@Chahali Kusema pole pole alitekwa na kuuawa bila ku confirm kifo chake ni un professional kabisa, naonaga na habri zako za kule YouTube unajiropokea TU ilikupaata viewers hamna lolote,
@prossoff Tulieni mnazani kazi nyepesi kama mwizi wa kuku sio? au mnataka akurupuke aingie mkenge adakwe harafu uje Tena hapa kumsimanga kusema soldier Gani mbinu๐ฎ๐ฎ
@DrCyrilo JPM alikua na Mazuri mengi sana kuliko mabaya machache hakuna alie kamilika huo ndo ukweli wenyewe ukibisha basi akili Yako inaufinyuu sa kuchanganua mamboโ๏ธโ๏ธโ๏ธ
@mangekimambi@realDonaldTrump Mange Kwa hili hatuko pamoja hata ukiangalia comment nyingi kule IG wamekukataa unge achana na hayo mataifa TU deal na mapambano yetu hata kama Kuna msaada tunaupata kutoka kwao basi usije Front kushabikia hayo coz unatugawa kuna wengine wako Team Iran wengine USA, Russia n.K
@mangekimambi Ukiunganisha code za kaka yake pole pole alivyo sema hii inaweza kuwa ni kweli jamaa kadakwa we fuatalia maongezi yake utaona coz alisema nimekuja kuongea kwa zarula TU,jiulize zarula Gani hiyo? harafu akaendelea kuwataja wengine kusema your the Next, means Kuna jambo limetendeka