Aliye na namba na Sylvester DPP Naomba mnitumie.
Hii issue ya Dkt Slaa is too much sasa hivi.
It’s an abuse of process na positions kabisa.
Siwezi kuvumilia tena.
VIDEO:
Mwenyekiti wa Baraza la Vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo-CHADEMA (BAVICHA) Taifa, Wakili Deogratius Mahinyila amesema hakuna umuhimu wa kuhubiri amani kama wananchi hawatendewi haki na kuonewa kwani kumeshuhudiwa watu wanaopigania haki kwa maslahi ya wananchi wakifanyiwa vitendo visivyofaa.
Akihutubia katika mkutano wa hadhara na wananchi wa kijiji cha Berege wilayani Mpwapwa mkoani Dodoma ameeleza kuwa wengi wa wanaohubiri amani ndio hao wanaoiharibu kwa kuteka wapigania haki.
-Mtu yoyote mwenye njaa anafanya maamuzi kama mnyama ”
-Shujaa ni yule anayefia katika uwanja wa vita na muoga ni yule anayefia ndani chumbani kwake."
NB:niwasomi wangapi wanaweza kusema hili?wawe na kazi/wasiwe na kazi waweze kuwa sauti?
Nafikiri mbowe amekijenga chama kwa kukuza roho ya visasi na kukuza utovu wa nidhamu kwa vijana walio wengi ,Ukikagua page ya @ExMayorUbungo Hakuna andiko lolote lenye ishara ya kupongeza Wala kiashiria kukubaliana na matokeo ya uchaguzi ndani ya chama,Chama kinahitaji mabadiliko
Moja ya sababu nilipenda Lissu ashinde ni kupata Taasisi thabiti ya kudeal na CCM, maana zingine zote wameshaziweka mfukoni.
Tunawapa sana free pass hawa watu.
Bro, najua hiyo Tshs 8,000,000/= unawaza kununua VITS ili ionekane umenunua gari. Ni kiasi kidogo, Lkn kinaweza kubadili maisha yako. Uki-invest vizuri inaweza kukuingizia 58M for 2yrs ONLY.
Nisikilize, achana na gari, hebu tuiweke ktk biashara within short time uone mafanikio👇
Lema alitoka Arusha kuja ku"occupy" Dar na akafanikiwa kudhibiti wahuni wa Dar! Arusha acheni kudanganywa na Makonda na Gambo! Lema ana Akili,maarifa,Taarifa & mbunifu sana! CCM ikisimamisha wagombea wawili waungane ( KondaGambo) Arusha mjini Bado hawawezi kumshinda Lema
Unakuta Mzee anajenga.
Home milo mitatu kama kawa.
Tunaenda Skuli bila stress
Vikali tunavaa, mke wake anawaka kama kawa
Na yeye anadunda kama kawa. Kama mtu wa Monde anapiga GLASI kama kawa
Wazee wetu walikuwa MATAPELI.
Mbona kwasasa kufanya kama wazee kazi sana kutoboa?