URGENT 🚨 🚨. If you know anyone of influence in America or Europe please push this video to them. President Trump needs to see this video, The US Congress needs to see this video, The EU parliament needs to see this video. @potus@Europarl_EN@UN@tedcruz@SenatorShaheen@SecRubio@StateDept
After killing more than 10,000 Tanzanians in order to maintain power, Samia Suluhu is now in Moscow seeking the protection of Vladimir Putin, hoping to avoid accountability for the killings.
America and Europe cannot afford to let this become a new precedent in Africa: kill your own citizens, then run to Russia and hide behind Putin.
@Liberatus80@tausilikokola Please fikisheni huu ujumbe kwenye bunge la Marekani.
Ukitoka huko nenda na China alafu kamalizie North Korea. Hata wenzio kina Maduro na Assad wa Syria walijiweka na Russia, leo wako wapi??????
Tena ukiwa huko kaangalie kabisa na nyumba ya kuishi maana na mwenzio Assad anafadhiliwa hapo hapo Moscow. Na mwenzio Assad alikuwa anatanua misuli akidhani Russia itamwokoa.
@SenTedCruz@SenatorShaheen@SenateForeign@SFRCdems Samia Suluhu thinks Russia is going to save her from facing accountability for the October 29 killings.
@Potus Show this killer bitch that Russia is not going to save her from a Maduro operation.
HUU NDO UJUMBE WANGU AMBAO NIMEMTUMIA MKUU WA MAJESHI YA ULINZI TANZANIA, JENERALI JACOB MKUNDA.
👇👇👇👇
Kwako CDF Mkunda,
Ni matumaini yangu kwamba umzima wa afya.
Wewe unaitwa Mkuu wa Majeshi Tanzania kwasababu majeshi yote nchini yapo chini yako kwa mujibu wa Katiba yetu ya Tanzania.
Jeshi lenu linaitwa Jeshi la Wananchi sio Jeshi la Rais wala Serikali kwasababu moja kati ya majukumu yenu ni kulinda Uhuru wetu, kulinda Usalama, na mipaka ya nchi yetu.
Kabla ya Oktoba 29, kuna Wanajeshi kutoka nchi ya Uganda waliingia Tanzania, taarifa zilisambaa kila kona lakini wewe na vikosi vyako vyote mlikuwa kimya licha ya kwamba ulikuwa unajua kuwa kuna uwepo wa Jeshi kutoka Uganda na unajua Katiba ya Nchi hairuhusu jambo kama hilo.
Oktoba 29, tulipoteza Watanganyika wenzetu zaidi ya elfu kumi ambao waliuwawa kwa risasi na waliofanikisha mauaji hayo ni Jeshi la Polisi, TISS, KMKM na Wanajeshi mamluki kutoka Uganda.
JWTZ mmeshindwa kulinda mipaka ya nchi yetu ndo maana Wanajeshi kutoka nchini Uganda waliingia Tanzania kwa msaada wa Jeshi la Polisi Tanzania, na wakapewa majina feki na bunduki ili wauwe Watanganyika wenzetu, mamluki kutoka Uganda, TISS, KMKM, Polisi na baadhi ya Wanajeshi wako walishirikiana kikamilifu kuwamiminia risasi ndugu zetu bila hata chembe ya huruma.
JWTZ mmeshindwa kulinda usalama wetu na usalama wa nchi yetu ndo maana kabla ya Oktoba 29 ndugu zetu zaidi ya 600 walitekwa na kupotezwa na hata baada ya Oktoba 29 hali imezidi kuwa mbaya maana bado watu wanaendelea kutekwa na kupotezwa na wengine tunawindwa kila kona, tunaishi kama digidigi halafu bado nyie mnaguts za kujiita Jeshi la Wananchi, Jeshi gani la Wananchi ambalo haliwezi kulinda usalama wa hao Wananchi wake?
JWTZ mlishindwa kulinda uhuru na usalama wetu, maana kulinda Uhuru na usalama wetu ilikuwa ni pamoja na kuhakikisha Maandamano ya Wananchi ya Oktoba 29, yanafanyika kwa amani na yanaisha kwa amani, lakini nyie mlitulia tu mkaacha vikosi vya Samia vimwage damu za maelefu ya Watanganyika ambao waliuwawa kwa risasi.
Kibaya kuliko yote baadhi ya Wanajeshi wa JWTZ ambao walionekana wakilinda Maandamano ya Wananchi Oktoba 29 maeneo mbalimbali nchini.
Baada ya Oktoba 29, wewe CDF uliagiza wakamatwe na wafunguliwe kesi kwenye Mahakama ya Kijeshi (Court Martial) mkawabambika kesi kwamba walichochea Maandamano, yani kwa lugha nyepesi ni kwamba wewe CDF, ulichukizwa sana sana kwa kitendo cha baadhi ya Wanajeshi wako wa JWTZ kulinda Wananchi ili wasiuwawe kwenye maandamano ya Oktoba 29, means ulifurahishwa sana na mauaji ya Watanganyika wenzetu siku ya Oktoba 29.😭
Mahakama ya kijeshi ( Court Martial) iliwatia hatiani Wanajeshi ambao walijitolea kulinda Wananchi siku ya Oktoba 29 ili wasiuwawe, Yani wanajeshi ambao walijitolea kutulinda Oktoba 29, Wamefungwa wapo magereza wanasota wakati huo Viongozi wa ulinzi na usalama walioshiriki kuuwa kwa risasi Watanganyika zaidi ya elfu kumi wapo mtaani wanatamba bila wasiwasi licha ya kwamba hata wewe mwenyewe unawajua kwa majina na sura zao.
Hii dhambi itakutafuna wewe na kizazi chako mpaka siku unaingia kaburini.
NB. Hii video ambayo nimekutumia hapa huyu ni Mwanajeshi wako wa JW, kamvua nguo raia na kumtesa hadharani, huu ndo ukatili ambao baadhi ya Wanajeshi wako walikuwa wakiwafanyia watu siku ya Oktoba 29, hili tukio lilitokea Tunduma siku ya Oktoba 29z
Ndimi Hilda Newton,
Mwanachama wa Chadema na Mwanaharakati wa Haki za Binadamu.
We have had this wrong all the time along!
We have been trying to engage irrational people rationally!
Engaging people like Samia, Abdul, Kabudi by hoping that they will eventually see the light is an exercise in futility!
There is no moral argument, no argument about collective interest that will touch them to place their personal desire and interests aside. We have been asking them to respect the law, rights and #FreeTunduLissu - but it will always fall on deaf ears because all they hear and see is a threat to their grip on power and endless riches! They do not care that their actions endanger the future and they cannot even conceptualize such eventuality! They don’t care!
So stop asking, demanding and negotiating #FreeTunduLissu only but the time has some come for them to be removed from power because they will not leave on their own volition!
#SamiaMustGo #CCMMustGo
Today in #Tanzania we bring back into full focus #FreeTunduLissu campaign for various reasons
The sheer repressio of detaining illegally without a proper trial the main opposition politician for over 400 days is alone a good reason
But there is the destiny of the nation at stake! We are in a major crisis and we have violent, visionless, selfish and clueless brutes in charge! The whole world is facing precarious times but we #Tanzania have an additional ticking timebomb in our midst - brutalized disillisioned young population facing increased impoverishment!
What we need urgently is a way out of this mess led by someone that we all trust
And that is Tundu Lissu - love him or hate him!
For the sake of the survival of Tanzania, we need Lissu freed IMMEDIATELY!
#FreeTunduLissu
Watanzania, dunia haijachoka na wala haijalala, haiwezi kuvumilia unyama na ukiukwaji wa haki za binadamu uliotokea Tanzania. Muda sio mrefu mtasikia kishindo kutoka USA. Hizi ni rasharasha tu. Mambo makubwa yapo kwenye pipeline.
Nipo na begi la maamuzi magumu. Yajayo yanafurashisha
#TanzaniaMassacre #FreeTunduLissu
‼️🚨WATUHUMIWA WA MASHTAKA YA UONGO DHIDI YA HECHE‼️
Wanaoshtakiwa na @HecheJohn ktk hii kesi ya kubambika ni:
- Rommy Ramadhan Kasseko
- Isaya Charles Thomas
- Deos Junior Ramadhan
- Irene Silas Mabeche
Alafu
- John Wegesa Heche
Sasa hawa watu hatuwafahamu ila wameungwa kwenye hii kesi - kama kuna unayemjua mshtue!
Najiuliza so wameamua wanataka Tanzania iteketee kabisa? Hivi wanafikiri hii itatuliza au itachochea hali?
Eniwei acha kiwake
#TutaelewanaTu
“Nikipanda daladala, burudani yangu kubwa ni kumuona kondakta akihangaika na chenji. Hata nikawa na pesa kamili mfukoni, naendelea kukaa kimya hadi akubali Tsh 500 kwa short route. 😂😂”
Kuna Chama kimoja tu Tanzania chenye any moral ground ya kuwasemea Watanzania kwa sasa. Kuna chama kimoja tu Tanzania chenye any legitimacy ya kuwasemea Watanzania. Kuna chama kimoja tu Tanzania chenye uhalali wa kuwasemea Watanzania, chama hiko ni CHADEMA!!!!!!!!!!!
Vyama vingine vyote vilipoteza uhalali wa kuwasemea Watanzania either kwa kuwasaliti Watanzania kwa kushiriki uchaguzi wa 2025 au kufanya mauaji ya Oktoba 29.
Chadema ndio Chama pekee kilichoweza kuendana na matakwa ya Watanzania kwenye uchaguzi wa 2025, ndio chama pekee kilichosikiliza wananchi wanataka nini na wakaonyesha na kuongoza njia kwa kuja na NO REFORMS NO ELECTIONS na kusimama nayo mwanzo mwisho!!!!!!
It’s almost like Chadema ndio chama pekee cha siasa kinachoelewa Watanzania wanataka nini na wako tayari kujitoa kuhanga maisha yao ili wawapatie Watanzania wanachokidai.
Chadema ndio chama pekee kilicho earn kuaminiwa na Watanzania………
Kila alichoongea mzee SINDE jana ndio ukweli ambao hakuna mzee kaweza kuzungumza zaidi ya kulamba MATAKO YA SAMIA.
Heshima nyingi iende kwako GOAT WETU MZEE SINDE WARIOBA🐐
REPOST 500
NAMSHUKURU BONGO ZOZO KWA MAONI NA USHAURI WAKE MZURI WA KIZALENDO NA UPENDO NA MAARIFA. TUNGEMSIKILIZA TUNGEPIGA HATUA KATIKA MENGI IKIWEMO KUMUACHIA TUNDU LISSU ILI KULILETA TAIFA PAMOJA. WE NEED TO MOVE ON.
Poleni sana Watanzania kwa hiyo ripoti ya kishetani mliyopewa na tume ya kishetani iliyoundwa na shetani mwenyewe
Wale mnaotaka Maridhiano, hivi ndio hawa mashetani waliotoa ripoti hii mnataka kufanya nao Maridhiano????
Ripoti inafanyiwa promotion na serikali na machawa wake mmewahi kuona wapi? Kama sio uhuni na ushetani na kukosa utu?
Hongereni sana Chadema. Sasa kazi ipigwe mpaka wapaniki tena……..
Tunachokitaka kwenye nchi yetu ni haki, haki ya wananchi kuchagua madiwani wao, wabunge wao, Rais wao na chama chao. Tunataka haki ya uchaguzi huru na wa haki.
HAKUNA AMANI BILA HAKI. HAKI KWANZA AMANI ITAFATA YENYEWE!!!!