Nchi 11 za Afrika zilikubali kuzungumza na Serikali ya kibaguzi ya Afrika Kusini. 1971 Tanzania ikatoa tamko kali “Why We Will Not Negotiate”. Tanzania ikagoma sababu Makaburu wanatesa Waafrika. Kisha Tanzania ikaishawishi OAU iitenge Afrika Kusini. Tanzania tuliisimamia HAKI.
Kuna a bible verse nimeisahau, watu walimuomba Mungu apigane vita yao, nae aliwajibu, nendeni mkam face adui nami nitawapa nguvu ya kumshinda.
Mungu anataka akukute kwenye mchakato sio umekaa kaa tu kama mbuzi.
Ukisoma Story ya Nabii Eliya katika Biblia baada ya kushinda vita dhidi ya karmel (1 Wafalme 19) Malkia Yazebel alimtishia kumuua😂akapata hofu kubwa akakimbilia Jangwani huko
Akiwa amechoka na kukata tamaa akamwambia Mungu “Yatosha sasa chukua Roho yangu” 😊 akiwa na uchovu mzito akalala, Malaika Bwana akamtokea na kumwambia “Amka ule maana una safari ndefu” kuna muda hata uwe umechoka kiasi gani Piga Msosi Lala mengine yatakuja tu 🚶♀️Nisikie Amen huko nyuma 🙏
Hizi ndio sekta zilizotengeneza mamillionaire wengi Tanzania 🇹🇿 kubali kataa huu ni ukweli, Tafiti zimefanyika.
1. Retail & Wholesale 1200+
2. Small to medium sized industries 1000+
3. Real Estate 900+
4. Regional Trade 810+
5. Minerals 750+
6 . Logistics & Transportation 700+
Hapo zamani kidogo..,Jiji la Miamba na Samaki Kulikuwaga na Tetemesha Record,Afu kukawa na Kiss Fm na Radio Free Africa..,Mwanza Ilishaga wahi kuwa kiwanda cha kuzalisha vipaji katika sekta nzima ya burudani..,🔥🔥🙌🏿
Tanzania inaplan by mwaka 2050 iwe na Uchumi wa Dola Trillion 1 ambapo kama itafanikiwa kufika huko maana yake ni kwamba ingekua leo, Uchumi huo una maanisha Tanzania inaingia G20 straight.
Hata hivyo projections za kiuchumi zinasema by 2050 Uchumi wa Trillion 1 unatosha Nchi kuingia Big 40-50 za Nchi kubwa Duniani na as we speak hapa uchumi wetu upo around $80 Billion kwa hiyo ili tufike huko ni lazima uwezo wetu wa sasa starting 1st July, 2026 uwe mara 12 yake.
Kuanzia uzalishaji, uendeshaji wa mambo yetu, mipango yetu etc vyote viwe vina reflect ukuaji wa mara 12 ya sasa ndo 2050 tunaweza walau kuwa na Uchumi wa Trillion 1 USD na kwa mujibu wa Dira 70% ya huu Ukuaji ni lazima itoke Private Sector!
Hapa kuna actors kadhaa ni lazima wafanye kama marobot yaani. National Planning Commission, NPC, TISEZA, TRA etc LAKINI kwa ukubwa wake PPP-Centre maana kama Nchi tunahitaji uwekezaji wa Almost 410 Trillion Nchi nzima ili kila kitu kiende sawa na kati ya hizo 170 Trillion inabidi ziwe kwa namna ya PPP.
Kesho PPP-Centre ya Ndg. David Kafulila wana mjadala na wanazuoni pale UDSM kueleza kitaalamu hiyo 410 Trillion tunaweza ipata vipi na wapi by Mwaka 2050. Kama una muda unaweza fika na kusikia mwenyewe.
Chuki, husuda, wivu na kinyongo haviwaumizi wengine—vinamuumiza zaidi mwenye kuvibeba. Usijidanganye kwamba ni sumu kwa wengine; ni kama kunywa sumu ukitegemea mwingine afe. Ukweli ni rahisi: wewe ndiye unaathirika kwanza, kabla ya yeyote.
Maskini mmoja alimwendea kiongozi wa dini akiwa na huzuni, akasema: “Mimi ni maskini sana.”
Kiongozi akamuuliza: “Uko tayari kuuza imani yako kwa pesa nyingi?”
Akamjibu: “Hasha! Siwezi kuuza imani yangu.”
Kiongozi akasema: “Basi wewe si maskini.”
Utajiri wa kweli ni imani.
“Usichukue muda mwingi kulinda Cheo, Chukua muda mwingi kutoa matokeo kwenye kazi yako. Cheo hakilindwi. Kama kilivyokuja bila wewe kukipambania kitaondoka siku moja utake au usitake na atakuja mtu mwingine kwa sababu na wewe ulikuta mtu mwingine” Dotto Biteko