Sauti kutoka Kikao kilichohusisha wawakilishi kutoka wizara ya Uwekezaji, Viwanda na biashara na taasisi zilizo chini ya wizara hiyo kikijadili mustakabali na maendeleo ya Tanzania ya viwanda.
"When a rich man is sick, a poor man will pay him a visit to say sorry and wish him a speedy recovery. When a poor man is sick, he waits to recover then goes to tell that rich man that he has been sick"
~ Chinua Achebe #Africa
IJUE HISTORIA YA AFRIKA KABLA YA WAKOLONI KUIARIBU
Je! unajua kwamba katika karne ya 14, jiji la Timbuktu lilikuwa kubwa mara 5 kuliko London?
Na hata kwamba ulikuwa wakati huo mji tajiri zaidi duniani?
Hivi Hauwezi kuambiwa School kwa kuwa hata Syllabus tumeletewa tuuโ๏ธ๐
โItโs the people that have to change the earth, not the presidents or whatever you wanna call them. The people have to change this thing, you know. Because itโs the people that put them in power, right? So the people have to make decisions for themselves.โ #bobmarley#quote