#TajiriLaKihaya
Kwa Baridi iliopo DODOMA usiku huu…
Mwanamke ambae anaweza lala mwenyewe ni yule ambae yupo mahututi kalazwa tena BMH…
Ila hata aliopo MWEZINI hawezi vumilia… lazima aende anunue dawa ya kukata….
NB: Mm kazi yangu ni kureport matukio Live kama yalivyo, moja kwa moja kutokea makao makuu ya Nchi, eneo la tukio!