Ndio maana kuna watu wakipata deal moja tu maisha yao yanabadilika.
Na kuna watu wengine wanapata deals 20 lakini hakuna kinachobadilika.
Tatizo sio deal.
Tatizo ni maamuzi.
The END .
You're a man. Act poor. Act broke. Act like a useless man. Act like you can't afford bread until they find out you own a bakery. Have more than you show and speak less than you know.
@MarekaMalili Jamaa kafanya kazi kwa boss mmoja iv toka kamaliza darasa la saba mpka kaoa na ana mke na watoto watatu... siku kazinguana na yule boss anataka kuondoka kuendelea na maisha yake... boss kamgeuka kampa jamaa kesi ya wizi wa zaidi 200M... boss anataka kutaifisha mali zote za jamaa