Zuio la kupiga marufuku mikutano ya Siasa ni Zuio haramu na batili,
Huku ni kunyima haki kwa vyama kutekeleza majukumu yake ya kisiasa kwa mujibu wa sheria,
Haya magari na hawa watu wanaokuja kwenye mikutano yetu kwa njia za kufuatilia kwa njia zisizo za wazi..
Wanapaswa kujua Tunajua na tunawaona.
Sisi tunafanya siasa na tunafanya kazi yetu ya kikatiba, hatuwezi kukubali kutishiwa wala kuogopeshwa.
Acheni uhuni huu.
Karibu tena Nyumbani mhe @halimamdee Tupambane tena kwa pamoja na Umoja wetu kuda haki ktk taifa letu, hiki ndicho chama kinachoweza kudai na kupigania haki, Usawa na Demokrasia kwa wanachi wa taifa hili,
Wakati Vikosi vya Samia vinauwa watu kwa silaha za moto wakati wa Uchaguzi Tume ya Uchaguzi iliendelea kujihesabia kura na kumpa Ushindi wa Asilimia 98% Rais Samia,
YALIPANGWA
YALIRATIBIWA
YALIFADHILIWA na
YALITEKELEZWA.
Eee Mwenyezi Mungu tusadie, tufumbue macho na tuongoze kutambua na kuwakataa wenye nia ovu dhidi ya Tanzania.
#NeverAgain
Huu ni Upumbavu wa hali ya Juu, Swaini kabisa!!
Ushahidi upo wazi kabisa, Vyombo vya Ulinzi na Usalama vilitumika kwa aslimia zote kutekeleza mauwaji kwa Wananchi
Mapema leo, Nimeongozana na viongozi wakuu wa Chama chetu kukutana na viongozi wa African Women Leaders Network uliokuwa ukiongozwa na aliyekuwa Rais wa Liberia, Ellen Johnson Sirleaf, akiwa ameambatana na aliyekuwa Rais wa Ethiopia, Sahle-Work Zewde.
Katika mazungumzo yetu tumewaeleza viongozi hawa msimamo wa Chama chetu, kama ulivyoazimiwa na Kamati Kuu ya chama , na kueleza kwa kina matukio ya ukiukwaji wa haki za binadamu na vitendo vya ukatili vilivyotokea kabla, wakati na baada ya tarehe 29 Oktoba 2025.
Kesi ya Lissu ilishamalizika kilichobaki
Sasa ni kesi inaendeshwa kwenye kesi ya maoni ya umma (Court of Public Opinion)
Tukishaelewa tutakuwa makini zaidi na narrative za machawa!
#FreeTunduLissu#LissuSioMhaini
Huu ni mkutano wa Chadema uliofanyika Karatu siku ya leo,, Tumeanza mashambulizi kama hivi 👇👇👇
"Walioua ni Polisi sasa wanachunguza nini?"
@Welwel Mwenyekiti wa Chadema Jimbo la Karatu.
Tundu Lissu ambaye yupo ndani ya kuta za gereza Ukonga asingeweza kwa njia yoyote ile kumtafuta Dr. Chakwera
Kwa hiyo hapa hoja ya nani alimtafuta mwenzake it’s obvious ni Chakwera ndiye aliyemtafuta Lissu ama kwa maelekezo, au utashi binafsi.
Kauli ya Lissu “Nipo tayari kwa mazungumzo nikiwa huru”
Kwa wasioelewa hii ni lugha yangu kisheria kuhusu makubaliano.
Makubaliano yanayotambulika kuwa halali kisheria ni yale yanayofanyika under FREE and genuine consent. Neno FREE hapo linasimama likimaanisha FREE from COHESION or UNDUE INFLUENCE
Lissu anaamaanisha kuwa, kwa yeyote anayetaka kuzungumza na yeye kuhusu lolote, asifanye hivyo wakati Lissu kwa kutumia ukosefu wa Uhuru wa Lissu kama UNDUE INFLUENCE kuchagiza maamuzi yake.
Kwa hiyo kwa ambao hamjaelewa, Lissu bado amekaza kutuuza kwa mazungumzo yenye ushawishi wa kumpa Uhuru.
Lissu anataka UHURU KWANZA ndipo umpelekee hoja mezani aamue kukubali au kutokubali akiwa HURU.
Lissu hajataka akatokee Ikulu.
Anataka atokee kwenye malango ya Ukonga. Sio kwa huruma, bali on merit either kwa serikali kufuta kesi yake yenyewe ambayo mpaka sasa wameipakisha basi kwa Pilato bila sababu, au hukumu ya NOT GUILTY.
Nimeona mnajimu mmoja wa mizimu anatafsiri tofauti ikabidi niweke sawa.
Yours,
The Hoofman