@tanescoyetutz Tanesco Nina mwaka natumia umeme kwa gharama kubwa nimeandika barua ya kuondolewa kwenye matumizi makubwa hamtaki kunitoa duh hatari mnajua kuumiza watu
@tanescoyetutz Mniondoe kwenye matumizi makubwa ya umeme nimetumia mwaka na miezi Sasa umeme kwa gharama kubwa nimeandika barua imemaliza miezi miwili ofisini kiomboi singida napiga simu huduma kwa wateja wananizunguka tuu badala ya kusaidia tatizo wananiambia niende ofisini kiomboi
@tanescoyetu Nipo iramba kinampanda SINGIDA umeme ulikata baada ya kurudi siku ya tatu Leo kwangu sijapata umeme ofisini hawapokei simu mnanisaidiaje @tanescotanzania
@tanescoyetu Nina siku ya tatu Sina umeme kwangu Nipo iramba kinampanda napiga simu offisini hawapokei
Umeme ulikata baada ya kurudi kwangu sijapata umeme siku ya tatu sass 0673996404