@Roma_Mkatoliki Kukaa mezani ndiyo mfumo wa dunia wa kumaliza changamoto, nchi kama , Kenya, Zimbabwe, Sudan, n.k zilikaa mezani
Iran na Marekani wapo mezani itakuwa chadema!, au mnataka Chadema iingie msituni kama Joseph Koni Uganda, Congo, Boko haramu, njia ya msituni haitaji kukaa mezani
@mangekimambi@MariaSTsehai Hata marekani na iran wamekaa mezani, itakuwa chadema au @mangekimambi unataka chadema waingie Msituni kama Joseph Koni wa Uganda na boko haram Nigeria,
Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa imemteua Ndg. Fahami Matsawily Juma na wengine watano kuwania kugombea Ubunge Jimbo la Bukoba Vijijini.
Majina hayo yametangazqa leo Jumanne Julai 29,2025 katika Ofisi za Chama hicho Jijijini Dodoma na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM CPA Amos Makalla.
Kwa sasa Tanzania tuna Viwanda 24 vinavyozalisha Nondo, Viwanda vikubwa kama Rodhia, Iron and steel, MMI steel, Kamel steel, n.k Viwanda vyetu vina Uwezo wa kuzalisha Nondo mara mbili ya mahitaji kwa mwaka, kwa sasa Tanzania inauza Nondo nje ya nchi Burundi, congo na Rwanda

@HusseinBashe Hongera sana mhe, kwa kumsaidia mkulima mazao yake kufika sokoni na kuongezewa thamani kwa sasa mazao ya kilimo (Agricultural products) kwenye maonesho ya biashara yameongezeka zaidi kulinganisha na huko nyuma, ni hatua kubwa ya kujivunia kama Taifa, Ubarikiwe zaidi.
@joseph_kalimbwe Africa could reap $3.4 trillion if it turns challenges into opportunities
A new report on Africa’s Economic Development 2024, launched earlier this year by the United Nations Conference on Trade and Development, UNCTAD,
@zittokabwe Source ya Taarifa ndani ya kitabu ni hearsay, rumors na tetesi zilizosukumwa na hisia za hasira na chuki kutoka kwa mwandishi dhidi ya muhisika mkuu.