SINNERS (The Movie Explained)
Hii itakuwa movie ya tano kati ya director Ryan Coogler na Michael B. Jordan kufanya pamoja. Ya kwanza ilikuwa Fruitvale Station, then Creed, ikaja Black Panther, Black Panther: Wakanda Forever and now Sinners.
🔥Toyota Harrier aka Anaconda, Machine Moja ya Maana sana..
.
Unaweza Jiuliza kwanini hii gari imeitwa Anaconda, moja ya joka kubwa duniani lenye uzito na urefu wa kutosha..
.
Na unaambiwa majike Yake ndo huwa makubwa kuliko dume, Mambo Yasiwe mengi funga mkanda tuanze safari👇
@tanescoyetutz@tanescoyetutz mlisema maboresho ni kuanzia saa 6 usiku mpaka 10 alfajiri lakini mpaka sasa ni saa 5 asubuhi na huduma ya Luku haipatikani.
@airtel_tanzania@Nnauye_Nape ya MNO's bila ujumbe unaoonyesha pesa imetumwa kwa namba ipi, ukizingatia hii simu sijaishika toka Jumamosi baada ya kufanya hiyo miamala minne, na Jumatatu siku ya Christmas sikua nayo huo muda wametoa hiyo pesa kwenye account.
@airtel_tanzania@Nnauye_Nape Nilifanya miamala minne ndani ya saa 1, {150,000/ to Vodacom 150,000/ to Vodacom 105,000/ to Airtel & 70,000/ to Airtel} na meseji 2 nikatumiwa kwa hiyo mitandao mingine ya kwanza ikiwa MNO's.
Sasa Jumatatu tarehe 25/12/23 wamejitumia wao wenyewe sh. 19,000/ na wamenitumia sms
@Nnauye_Nape Mheshimiwa @Nnauye_Nape huu unaofanywa na @Vodacom ni wizi wa dhahiri.
Inawezekana vipi mteja mmoja akatwe pesa ya @vodabima mara mbili wakati kiutaratibu ni mara moja tuu.
Na pesa hiyo huwa wanakata kila mwezi inawezekana vipi mwezi huu watoe kwenye account yangu pesa mara mbili