wengine tunatokea kwenye maisha ya kawaida sana. Tunapotumia nguvu na jitihada sio kwamba tunashindana na wengine usituonee wivu kwa kidogo tunacho kipata sababu hatujafanikiwa bado hata kubadilisha maisha ya wazazi wetu
Kuna watu wakiacha kukupenda.. hawakupi taarifa kama wamesitisha huduma ya ##UPENDO#Utaona matendo Yao tu ...
na hapo ndioo utakuwa umepata taatifa kupitia matendo.