Top Tweets for #UPENDO
...aliweka msingi wa upadri ili kuendeleza huduma na mafundisho yake.
3. Kuosha Miguu ya Mitume
Mfano wa unyenyekevu na upendo — kutufundisha kuhudumiana.
Tujifunze kupenda,kunyenyekea na kutumikiana ❤️
#AlhamisiKuu #Imani #Upendo #Unyenyekevu
#BrandNewTzMusicVideo kutazama #UPENDO 👇 @official_blacklistfamily #UPENDO(Official Music Video) Bofya Bio yake au HAPA @youtube 👇🏾 https://t.co/OE3fRLYat8 Produced by @lickytouchez @noizmekah Beat By #FekecheBeat Video Shot By #BigMajor #InfoPoweredBy #TeamKaskazi
Tanzanite Source inawatakia Watanzania Wote Heri ya Sikukuu ya Miaka 64 ya Uhuru wa Tanzania 🇹🇿
Tudumishe Umoja, Amani na Upendo
Tanzania Imara. Kazi iendelee
#independencedaytz #umoja #amani #upendo #tanzanitesource #tanzania
Follow @tanzanitesource for Gems & Jewelry

ASKOFU ASKOFU ASKOFU 🚨🖐
>>>WAHENGA WANASEMA 💦
🫴UKITAKA KUJUA UFAHAMU NA KNOWLEDGE YA MTU MPE MIKE AZUNGUMZE;
🔹️#Askofu au mchungaji_unafundisha #chuki badala ya kufundisha #upendo na maridhiano baada ya watu kugombana na kuhasimiana⁉️
_UNASEMA WAZI KABISA KWAMBA;
"HILI HALINA MSAMAHA"
🫴Unajaribu kuashiria na kuwafunza nini watu walipoteza ndugu zao au kujeruhiwa⁉️
_KWAMBA HAPA #KISASI NI LAZIMA NA WAFIWA WASIKUBALI YAISHE #BURE👀😱
🫴_HIVI HUYU AKIPEWA NDOA ZA WATU AU KESI ZA WAUMINI WAKE AWASULUHISHE KWENYE MGOGORO WAO HUWA ANAFANYAJE HUKO KANISANI KWAKE⁉️👀
Inanishangaza watu kama hawa eti wanapewa #madhabahu na wanaonekana wana hekma na busara
🔹️#askofu au #mchungaji_ Unahubiri hekma huku mwenyewe maneno yako yanakosa hekma ⁉️
_unawahubiri WAOMBOLEZAJI KUTOKUBALI "KUSAHEME"⁉️
JE, hiyo ndio hekma ya kusuluhisha migogoro⁉️👀
NDIO #BIBLIA UNAYOIFUNZA INAKUAMBIA HIVYO⁉️
🔹️KWAHIYO NDUGU ASKOFU UNAMAANISHA PIA WALE AMBAO MALI ZAO ZIMEHARIBIWA KWA KUCHOMWA MOTO PIA KUIBIWA NA WAANDAMANAJI AMBAO WEWE UMESHINDWA HATA KUWAKEMEA...JE, NA WAO WASISAMEHE JUU YA UHARIBIFU WA MALI ZAO ⁉️👀
_na wao wana #haki kulipiziwa kisasi kwa mali zao kuchomwa moto na kuibiwa....SI NDIO UNATAKA HIVYO⁉️
🔹️NA serikali nayo ISISAMEHE WALIOHARIBU VITUO VYAO VYA POLISI NA MALI ZAO ZINGINE KAMA VITIO VYA MWENDO KASI .
🫴JE, NDUGU #MCHUNGAJI AU #ASKOFU NDIO UNATAKA MAMBO YAWE HIVI TULIPIZANE KISASI KWA STAHILI HII⁉️
_JE UNAHUBIRI KWENYE KULITENGENEZA JAMBO LILILOHARIBIKA AU UNAHUBIRI KWENYE UMWAGAJI DAMU ZAIDI NA MFARAKANO⁉️
✍️_Pengine JAALIA AU ukute askari alirusha risasi kutuliza machafuko ni MUUMINI WA KANISA LAKO NA ALIYEPATWA NA RISASI NI MUUMINI WA KANISA LAKO ___JE HAWA WATU UNAJARIBU KUWAAMBIAJE⁉️😱👀
_KWAMBA WASISAMEHEANE AU SIO⁉️😱👀
🔹️AU KWA MTAZAMO WAKO NI KWAMBA ASKARI WOTE NI TZ🇹🇿 WAISLAMU NA NI KUTOKA ZANZIBAR ⁉️👀😱
_umeshindwa hata hata dakika moja kukemea uharibifu uliofanywa na waandamanaji na kuwapa pole na moyo wa faraja waliopoteza mali zao kwa uharibifu⁉️
KWAHIYO WALICHOFANYA WAANDAMANAJI KWENYE MALI ZA WATU NA UMMA NDIO #HEKMA YENYEWE UNAYOIHUBIRI⁉️
_NA MBONA HAMKUWAKANYA WENYE NIA ZA MAANDAMANO NA MACHAFUKO HAPO KABLA...NA ILIHALI MNAJUA KABISA WALIPANGA JAMBO HILO MAPEMA KABLA YA OCT 29⁉️
🫴Kwahiyo ndugu askofu_kikwenu kunyamazia wenye nia ya kuchochea uharibifu NDIO #HEKMA ZENU KITHIOLOGY⁉️
🫴umedai kwamba MALIPO YA MWENYE KUANDAMANA SIO RISASI ..NI KWELI
_Lakini je, kuandamana kwa kuharibu mali za watu na za umma kwa sababu ya kudai #haki NDIO #HEKMA⁉️
YAAMI MTU AAMKE ACHOME MOTO MALI YA MTU KWA KUDAI HAKI YAKE TOKA SERIKALINI 😱
🫴UNADAI #HAKI KWA KUVUNJA NA KUHARIBU #HAKI ZA WATU WENGINE __ASKOFU UMESHINDWA HATA KU ADRESS HILI
_ni kweli moja wapo ya msingi wa AMANI NI HAKI...LAKINJ JE,
🔹️#HAKI INADAIWA KWA KUVUNJA #AMANI ILIOPO KWANZA NDIO MPATE #AMANI INGINE ⁉️
🔹️Ndugu askofu _umeshindwa kuwafunza RAIA 🇹🇿 wawe na SUBRA NA WADAI HAKI ZAO KWA NIDHAMU NA UTARATIBU MZURI...UNAWAFUNZA WAWE NA ROHO ZA VISASI NA KUTISAMEHE⁉️
NDUGU ASKOFU IMA HUJUI NINI HEKMA AU UNATUMIKA KISIASA KWA MAKSUDI KUPOTOSHA WATU KISA UKO MRENGO WA KIDINI AU UCHADEMA✍️📚
✍️_KUWA NA MADHABAHU UKASIKIKA KWA WATU SIO KIGEZO CHA KUCHOCHEA MIGOGORO KISA UNASIKILIZWA NA WATU WENGI
_lakini Mnawanyamazia wanaharakati walioko nje ya nchi_waliochochea machafuko kwakua ni mrengo wenu [KINA #MANGE,#SARUNGI]
NB;NDUGU ASKOFU KUMBUKA WATU WENGI PIA WAPO WANAOMBOLEZA VIFO VYA NDUGU ZAO KWASABABU YA MACHAFUKO YA WAANDAMANAJI NA SIO KWASABABU YA RISASI ZA ASKARI
🔹️WATU WANA HASIRA NA WAANDAMANAJI KWA KUCHOCHEA VURUGU NA HATIMAYE KUSABABISHA VIFO VYA ASKARI NA RAIA WASIO NA HATIA..PAMOJA NA HASARA ZA MALI ZA WATU KIUJUMLA
💬 Je, mapenzi ya kweli bado yapo? 🧠 Wataalamu wanasema upendo wa kweli ni safari ya kujitolea, mawasiliano ya wazi na kazi ya kila siku. 👫 Habari kamili hapa
https://t.co/MNvQx0zmxz
#MapenziYaKweli #Upendo #Mahusiano
"Maisha ni duara, ishi na watu vizuri."
"Life is a circle, live well with others."
"الحياة دائرة، عش مع الناس بحُسن."
#utu
#upendo
#unyenyekevu
A a heartfelt song by the #CaritasBankChoir that reflects on the pure, selfless love Christ left for humanity.
🎶 Let the message move you. Let the music inspire you.
Click the link- https://t.co/G76E5kqOII
#CaritasBankChoir #Upendo #CaritasAt10 #DecadeOfImpact
@kinokarate na @KARATETanzania inawakaribisha sana ndugu na jamaa wote katika kila yetu ya KINONDONI GOJUKAI KARATE kwa ajili ya mazoezi ya kiafya na self defence lengo ni kuuweka mwili kimazoezi na kiafya zaidi karibuni sana kwa mawasiliano zaidi tupigie +255753445080 Osss🥋🥋

@MsLACampaign @ummymwalimu @TanganyikaLaw @sisiniTanzania @matokeochanya @NCHIYANGUT @ikulumawasliano @SuluhuSamia MSLAC inasikiliza na kutatua changamoto za wananchi ❤️ #sisinitanzania🇹🇿 #ssh #matokeochanya #nchiyangu🇹🇿🇹🇿 #ikulumawasiliano #sisinitanzania #amani #upendo #umoja #KazinaUtu #TunasongaMbele

Kazi iendelee🇹🇿. #sisinitanzania #kaziiendelee #mslac #amani #upendo #hakinausawa #4R #kaziinafanyika

Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.1M followers

Barack Obama 
@barackobama
119.1M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
112.5M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.8M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.2M followers

NASA 
@nasa
92.2M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.4M followers

KATY PERRY 
@katyperry
88.8M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
82.7M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
74.2M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
71.6M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.3M followers

YouTube 
@youtube
68.7M followers

Bill Gates 
@billgates
64.5M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
64.5M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.4M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
61.8M followers

CNN 
@cnn
61.8M followers

X 
@x
60.8M followers

























