kwa masikitiko makubwa uongozi wa KINONDONI GOJUKAI KARATE na wanachama wake wote wanatoa pole na salamu za rambirambi kwa wakatoliki wote kwa msiba wa kiongozi wao mkuu wa kiroho #PapaFrancisco#RIP Mungu ailaze roho yake mahala pema peponi Amina.
@kinokarate inawakaribisha sana kwenye mazoezi ya #KARATE kwa ulinzi wa afya zetu na usalama pia darasa la watoto lipo kuanzia mia mitano(5) na kuendelea karibuni sana๐ฅ๐ฅ๐ฅ