#MICHEZO Kupitia ukurasa wa Instagram wa Ligi Kuu ya nchini Hispania La Liga wameipongeza klabu ya @yangasc1935 kwa kufanikiwa kuwa klabu ya kwanza kufikia rekodi ya kutofungwa "Unbeaten" katika mechi 49 za Ligi Kuu ya Tanzania ambapo ni rekodi pekee Tanzania.