Siku ukienda Ukweni fanya hivi…
Acha simu mezani ikiwa inarecord alaf jifanye umeenda uwani (chooni) kwa dakika 10…. Ukirudi chukuwa simu kata record yako utaiskiliza mda wa kulala.
Utakuja kunishukuru 😆👊
Kama Wewe Ni Boss Wa Ofisi Fulani Na Mara Kwa Mara Kuna Mmoja Kati Wafanyakazi Au Kiongozi Hupenda Kukuletea Taarifa Au Mashitaka Ya Wengine Kuwa Makini Mara Nyingi Huyo Ndio Huwa Mwenye Matatizo Kuliko Hao Wengine, Watu Wabaya Hawapendi Kuona Wengine Wakiishi Kwa Amani Na Upendo
Huko Njee Habari Za Chuki Zimekuwa Kama Salam Za Asubuhi Na Jioni, Ikiwezekana Tafuta Sababu Positive Itakayokupa Furaha Na Hamasa Ya Kuendelea Mbele Kwenye Kila Kitu Unachokifanya.
Inapotokea mtu anakuamini anakwambia mambo yake ya ndani kabisa jitahidi kuelewa kuwa huenda ni mtu pekee aliyeona una uwezo wa kumfichia siri zake, AMINIKA🫵🤝
I just want someone to be truly happy over me. Happy to see me. Happy to hear from me. Happy to spend time with me. Happy to be my safe place. Happy to cater me. Happy to know me. Just happy to have me and love me loudly. Give me the same energy, love & loyalty I'm giving you.