@INFLUENCERjr Badala ya kubeba hata wazazi wa wale majanja wakawaongezee hamasa zaidi, wanaenda viongozi ๐๐ hii nchi wallah nati hazipo sawa kichwani
@LifeofSteph_1 Ni wale wachezaji wa kutengenezwa academy za Uingereza hawana hata udambwi udambwi, inshort sijawahi muelewa kihivyo toka nianze mfatilia kelele ndo nyingi tu