Nawakumbusha.
1. Vaa condom kwa mtu sio wako au unakutana naye mara ya kwanza bila kupima
2. Acheni Michezo ya Kufilana
4. Acheni kunywa pombe mpaka mnalewa mnajikuta mnapiga mti malaya bila kinga
5. Kuweni waaminifu kwenye mahusiano hakuna tuzo ya umalaya.