Haya sasa urudishe familia yako toka Canada, maana sasa huna tishio la Kisiasa tena na sio Mkimbizi…
Na yule kaka yako (RIP) ambaye ulisema aliuwawa na CCM kwenye uchafuzi wa 2020 uwaombe sasa WAMFUFUE pia…
NB: Matako yako Wenje😎
Salama kaka.
Mimi ni muuzaji wa bendera za Taifa hapa kariakoo kitu cha kushangaza huko nyuma biashara ya bendera haikuwa nzuri ila sasa hivi nauza bendera hadi 200 kwa siku na wanunuzi wa kubwa ni vijana wenye miaka 18 hadi 25, nilijaribu kuwauliza baadhi mnataka za nini wakasema tunajambo letu.
Bila shaka tarehe 29.10.205 ni siku nzuri sana.