@BlackCarlos29@SeekNaturalLife Wote sio major yule wa kulia kule nyota mbili nyeusi na tanzania ni first lieutenant na kuna major halafu major jenerali ana nyota za gold hao Rwanda ranks zao zipo kifuani angalia vizuri,
Kama nakosea unisahihishe
@SeekNaturalLife Huyo ni major ana coat of arms halfu chini yake tanzania,mwingine ni afisa mteule daraja la kwanza yeye ana coat of arms pekee nyeusi bila tanzania halafu pia brigadier generals ndio wanakua na hyo coat of arms nyeusi na nyota moja na cross ya panga kitu kama hicho kama sikosei